Hawa sasa ndio drugs dealers,sio idd azzan!Utajiri wake umeibuka ghafla baada ya kikwete kuwa rais
Na akifa wamzikie humohumo asixhimbiwe kaburi my take.
Wivu ni kitu kibaya,Na akifa wamzikie humohumo asixhimbiwe kaburi my take.
Ha ha ha !Wivu ni kitu kibaya,
Wewe inaelekea unajichukia hata wewe mwenyewe. Watu kama nyinyi hufa masikini
Ndio zaoHa ha ha !
Si ajabu CHADEMA huyo!!
Wabeba mabox mbona tunazisukuma kila siku ndinga kama hizo....acheni ushamba nyie.
Cheki kitu ya Quattroporte 2014 hiyo
![]()
Bofya hapa kwa mapicha na info zaidi.