Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,927
- 100,179
Kwamba ni chai kwa matembele au juisi ya bamia kwa numbu?Chai
Kwamba ni chai kwa matembele au juisi ya bamia kwa numbu?Chai
Sai ni saa 06:16 ya asubuhi hapa carlifonia USAasubuhi gani ya saa tisa
Mimi na wenzangu tunakuheshimu sana tuNani ananiheshimu?
Basi endeleeni kujiheshimu, halafu kwa nini unaniita mwalimu?Mimi na wenzangu tunakuheshimu sana tu
Chai na pilipiliKwamba ni chai kwa matembele au juisi ya bamia kwa numbu?
Oh! PoleBasi endeleeni kujiheshimu, halafu kwa nini unaniita mwalimu?
Hilo sio jibu la swali languOh! Pole
Wewe unatafuta ukorofi na binti wa zamaniLeo nilikuwa nimepanda basi nikielekea kariokoo.ila kwenye siti nilikuwa nmekaa karibu na msela mmoja hivi . ila kwa umbali nilimwona akiperuz JF na leo ndio mara ya kwanza ya kukutana na mwana JF. Ila nilikuwa najifanya kwa angalia pemben huku nikiendelea kucheki skrin yake. ila kilichonistusha mwamba yule alikuwa akitumia avatar ya kike na id ya kike na alikuwa anaonekana ni mtu anayefahamika sana hapa JF maana ni platinum member.
ila nijaribu kuona kama ntaona id yake ila niliona inaanza na bi ila sikufanikiwa kuona tena maana alitoka JF akaingia zake FB.
ila nikajua humu JF masela wanatapelika kwa urahisi haswa wale wanaotafuta wachumba.
Hivi ualimu ni kazi kiasi hicho hadi kuitwa tu hutaki!Basi endeleeni kujiheshimu, halafu kwa nini unaniita mwalimu?
Unakunywa huku unalia kwa furaha kama wimbo wa K-lyn!Chai na pilipili
Acha wajichanganye watakuja kushusha nyuzi za kulia lia humu!Unazunguka sana mzee, kama binti
Binti wa zamani
Unawachora kama vibwenzo?Acha wajichanganye watakuja kushusha nyuzi za kulia lia humu!
View attachment 3627704
Wapi nimesema sitaki? Nimemuuliza kwa nini ananiita hivyo? Jibu mbona jepesi tuHivi ualimu ni kazi kiasi hicho hadi kuitwa tu hutaki!
Nahisi kakuona una-deserve heshma ya mwalimu ndio maanaWapi nimesema sitaki? Nimemuuliza kwa nini ananiita hivyo? Jibu mbona jepesi tu
Kwa huyo mwalimu tu ndio anastahili heshima?Nahisi kakuona una-deserve heshma ya mwalimu ndio maana