Masela wa enzi hizo!

Sokomoko alikua mkononi mwake hakosi kua na chupa ya gongo.

Kuna siku kafatwa kilabuni na wife akapewa taarifa za ujambazi uliotokea nyumbani, akauliza "..inamaana wamechukua na ile chupa ya gongo iliyokuwa pale kwenye tendegu?" akaambiwa hapana, hiyo haijachukuliwa. Akasema, basi kumbe wizi wenyewe sio mkubwa sana, akarudi kuendelea kugonga mvinyo kilabuni.
 
Mbona hii kapo ndio ilikuwa talk of the town kana leo hii na nandy na bilinas
Heheheh!! Aisee basi mimi sikua mwenyeji sana wa huo mji alikua anaishi Pimbi

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa! Ndumila kuwili yeye alikuaga ni tapeli fulani hivi wakati lodi lofa ni tajiri wa kuact mwenye dharau dhara fulani!

Nimewakumbuka wachoraji wa Sani enzi hizo Ibra radi washokera na Christopher Ndunguru,kitambo sana!
 
Lile jarida lilikuwa kiboko, kweli kila nyakati na mambo yake. Shuleni nilikuwa mfalme kwa kumiliki lile gazeti.
 
lodi lofa akikupakia kwenye gari lake basi ww ni mtu special, hadi askari polisi walikua wanaambulia vumbi.

aseee sijui kwann waliacha kuPublish lile gazeti.
 
Jamaa alikua ana jalibu kutu ludisha nyuma za enzi hizo, hana nia mbaya
 
Lile jarida lilikuwa kiboko, kweli kila nyakati na mambo yake. Shuleni nilikuwa mfalme kwa kumiliki lile gazeti.
nakumbuka pia nilikua na collection yake, ukiwa bored unaweza kuanza kusoma tena toleo la mwanzo mwanzo hahaha
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…