Masela wa enzi hizo!

NDUMILAKUWILI hajawahi kuwa msela
Yule aliyetengeneza Fruit na Juice ya ajabu ndo alikuwa msela kwa sana....mpaka ndumilakuwili aliota VUNDEZI la maana......

Kama mnakumbuka lakini!
 
Zamani ilikuwa raha sana basi mtaazimana gazeti la sani linachakaa halina mwanzo wala mwisho lakini burudani yake hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…