Masawe Mtata v/s Kicheko wa E_F.M

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,182
Wakuu,

Kwa macho yangu,
Naona huyu mtangazaji wa kipindi cha Genge cha E_F.M radio anayejiita #Kicheko analandana sana na yule
#Masawe_Mtata aliyekuwa kwenye kikundi cha Ze_Comedy ya EATV,
hasa segment ya "Mazuzu".

Kwa wanaofahamu naomba wanijuze,

Huyu ni mtu mmoja kabadilisha jina?
Au ni watu wawili tofauti wamefanana tu?

Picha Chini:
 

Attachments

  • 1467048825138.jpg
    33.4 KB · Views: 124
  • 1467048852260.jpg
    28.3 KB · Views: 104
Massawe mtata ndiye Kicheko Chifu...
 
Rais wa singeli tanzania.
Ni mtu mmoja huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…