Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Mimili ni BWM kwa mgongo kificho wa Ms. Sarah Salehe Masasi
tatizo tunapoingia kwenye soko huria, maana yake serikali inatakiwa kusimamia viwango vya bidhaa/huduma kwa wateja na sio kusimamia ukiritimba kama huo wa masasi. Tunge kuwa na ajira karibu kila mkoa hata wilayani.
Kampuni hii ambayo inatajwa kuwa inamilikiwa na mwanamama, kwa nini ipewe nafasi ya ukiritimba kwenye sekta ya kutengeneza nambari ya magari?
Kipindi hiki cha soko huria, kwanini wawekezeji wasikubaliwe kushindana na masasi sign ili mwananchi anufaike na ushindani wa kibiashara na pia awe na uwanja mpana wa kumchagua mtengeneza kibao amtakaye?
Je masasi sign ni mradi wa kibopa gani?
Unless hii family ina sarah wawili,the afore pictured is not sarahMimili ni BWM kwa mgongo kificho wa Ms. Sarah Salehe Masasi
Jamani, hawa ni wazawa na kwamba hiyo monpoly ili kuwa mwanzo kwa ajili ya hizo namba mpya za magari, sasa hivi wako wengine (TBS approved) wanaotoa vibati hivyo vya namba za magari. TRA waliyatangaza kwa uwazi makampuni hayo mengine.Kwanini masasi wamepewa nguvu ya ku monopolize soko?
Mimili ni BWM kwa mgongo kificho wa Ms. Sarah Salehe Masasi
Hapana, siyo mwenyeji wa Masasi, Jina lao ni Masasi. Ni dada wawili Lulu na Sara Masasi, wenyeji wa Iringa.
"Msiwe na wivu wa kijinga" ni mwenyeji wa masasi.
Mimili ni BWM kwa mgongo kificho wa Ms. Sarah Salehe Masasi