Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe leo amepokea wanachama zaidi ya mia tatu kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), wakati wa kumnadi mgombea udiwani Kata ya Chanikanguo, Elisha James Kaombe wilayani Masasi mkoani Mtwara.
Chanzo: Mtanzania Digital
Chanzo: Mtanzania Digital