MASASI: Mwenyekiti wa CHADEMA apokea wanachama 300 kutoka CCM

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe leo amepokea wanachama zaidi ya mia tatu kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), wakati wa kumnadi mgombea udiwani Kata ya Chanikanguo, Elisha James Kaombe wilayani Masasi mkoani Mtwara.
9f6e4a219b4a8465e4982343a4bb42e5.jpg

Chanzo: Mtanzania Digital
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe leo amepokea wanachama zaidi ya mia tatu kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), wakati wa kumnadi mgombea udiwani Kata ya Chanikanguo, Elisha James Kaombe wilayani Masasi mkoani Mtwara.
Picha please
 
982b890432e1a78016248fd20f9ae624.jpg
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe leo amepokea wanachama zaidi ya mia tatu kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), wakati wa kumnadi mgombea udiwani Kata ya Chanikanguo, Elisha James Kaombe wilayani Masasi mkoani Mtwara.
Msifanye siasa kwenye kampeni za udiwani - Kailima .
 
Back
Top Bottom