Masanja na Uropokaji kwa Wazee!

wale siku hizi wameishiwa , ubunifu kadhalika kwa sasa mhawana tena, siwatofautishi na baadhi ya kinamama(samahani) wakiwa ktk kusuka nywele ama vikao vinavyofanana na hivyo. ni kama kakikundi cha watu fulani wanasubiri matukio ya watu fulani kisha na wao wapate kusema. SIONI UMUHIMU WAO.
 
Ni ukosefu wa adabu tu kwa aliyefanikiwa kupitia mikononi mwa mtu na baadaye akarubuniwa na jasusi
 
massanja hajaenda shule...lete thread za kujadili watu wa maana..ni mpuuzi yule..achana nae.
Mhh nadhani aendelee tu kuudhi watu manake bila maudhi hakuna starehe na kazi yake yeye ni komedi ukipenda unaangalia ukichukia unasawazisha na kuosha gari lako kwa waipa, lakini uwe na maji katika chupa kwani ukienda na mapoooudazz ha ha ha ha ha ha takaanga kioo teh teh teh
 
Back
Top Bottom