Usishangae mkuu hii nayo ni sanaa tu kama Bongo flava. Kila mtu anaweza kufanya hayo. Ni uamuzi tuKhaa..!!Masanja mkandamizaji amekua na Upako kama wa Askofu Kakobe wa Kuangusha watu hivi??!!
@NgarenaroBoy.
Nguvu ya uganga wananunua nigeria
Achana na kitu kinaitwa 'Sadaka'...
Matayo 7:1-2Wanaigiza haujui kama ni wana maigizo hao
HahahaaNiite kwa adabu hebu
Niite kwa adabu hebu
“Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu; kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu. Kwa nini wakiona kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyomo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako.Matayo 7:1-2
Matayo 7:3-5
Wajinga ndio waliwao..
Mbona hata BASHITE huwaangusha watu.
Sawa kijanaSihisi kama jamaa hili tukio analikumbuka itakuwa ime editiwa.
SemaMbona nimekuitwa Yechu tu mama la mama asee!!?..Bas aikatox ngoja nkuite unavotaka wewe.'Khantwe Eeh!!'