Mchungaji Masanja: Japo nimeokoka ukinijibu Fyongo na mimi nakujibu Fyongo, mambo ya kugeuza shavu lingine hayapo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,873
Askofu mkuu wa Feel Free Church Masanja Mkandamizaji amewataka wakristo kote nchini kumshukuru Mungu kwa kila jambo

Masanja amesema hayo katika misa ya shukrani baada ya Kanisa hilo kukamilisha mfungo wa Siku 5

" Japo nimeokoka ukinijibu Fyongo na mimi nakujibu Fyongo mambo ya akupigaye shavu la kushoto mgeuzie na la kulia yamepitwa na wakati" amesema baba askofu Masanja

Masanja amesema wakristo ni lazima waishi kwa kumtumikia Mungu wakati wote
 
Waebrania 13

8 Yesu Kristo ni yeye yule, jana na leo na hata milele.

Hizo "dogma & doctrine" za "feel free" ni zake yeye mwenyewe na zinapingana na "Kichwa cha Kanisa" ambaye ndiye Kristo mwenyewe, na anapaswa kuwa ni kiungo chake kitakatifu kutokana na utume alioitiwa.
 
Askofu mkuu wa Feel Free Church Masanja Mkandamizaji amewataka wakristo kote nchini kumshukuru Mungu kwa kila jambo

Masanja amesema hayo katika misa ya shukrani baada ya Kanisa hilo kukamilisha mfungo wa Siku 5

" Japo nimeokoka ukinijibu Fyongo na mimi nakujibu Fyongo mambo ya akupigaye shavu la kushoto mgeuzie na la kulia yamepitwa na wakati" amesema baba askofu Masanja

Masanja amesema wakristo ni lazima waishi kwa kumtumikia Mungu wakati wote
Huyu ni muhuuni mwenzetu, hata msibabaishwe naye
 
Masanja, hutakiwi kushiriki matendo ya gizani, kisasi mwachie Mungu.

Waefeso 5:11
[11]Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;
And have no fellowship with the unfruitful works of darkness, but rather reprove them.

Kisasi ni cha Mungu
Warumi 12:19
[19]Wapenzi, msijilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu; maana imeandikwa, Kisasi ni juu yangu mimi; mimi nitalipa, anena Bwana.
Dearly beloved, avenge not yourselves, but rather give place unto wrath: for it is written, Vengeance is mine; I will repay, saith the Lord.

Isaya 61:2
[2]Kutangaza mwaka wa BWANA uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao;
To proclaim the acceptable year of the LORD, and the day of vengeance of our God; to comfort all that mourn;
 
Askofu mkuu wa Feel Free Church Masanja Mkandamizaji amewataka wakristo kote nchini kumshukuru Mungu kwa kila jambo

Masanja amesema hayo katika misa ya shukrani baada ya Kanisa hilo kukamilisha mfungo wa Siku 5

" Japo nimeokoka ukinijibu Fyongo na mimi nakujibu Fyongo mambo ya akupigaye shavu la kushoto mgeuzie na la kulia yamepitwa na wakati" amesema baba askofu Masanja

Masanja amesema wakristo ni lazima waishi kwa kumtumikia Mungu wakati wote
Kwa hiyo tuseme ni la kigaidi au🥱
 
Aandike bibilia yake. Fake pastor.
 
Back
Top Bottom