MICHUTZ
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 271
- 531
Ilikuwa na abiria 6 kwenda entebe ukisema lomoni unafeli budaaAcha wapige lomoni tutakutana mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa na abiria 6 kwenda entebe ukisema lomoni unafeli budaaAcha wapige lomoni tutakutana mwakani
Tupe evidence kwamba iko ground.ikiwa angani hawezi kufanya hlo tukio?Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
na wengine watapandia njiani....... si eti!Umejuwaje wako 6? Hao ni mwanzo tu, so inawezekana kuna wengine bado wanaingia
Pia kuna watu wanafurahi kuona wanacdm wakiuawa na kutupwa baharini!Kuna watu wanafurahi na kuomba nchi ipate shida. Watanzania ni watu wa ajabu sana
Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?
Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa
Mtoa maada ni mpuuzi, pengine kawahi kuingia, au pengine ni wakati wa kushuka yeye kasubiri watu wapungue ndio kapiga picha, au ni kwenye lay ove, kwa mfano unatoka Kilimanjaro kupitia Zanzibar kwenda Dar, mkifika Zanzibar, watu wa Zanzibar wote wanashuka, wanaingia wengine wa Zanzibar Dar,
Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?
Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa
View attachment 1039222
na wengine watapandia njiani....... si eti!
Umejuaje ya kuwa haikuwa na abiria, je kama aliwahi kufika na akapiga picha kabla ya abiria wengine kufika, pengine yawezekana alipiga picha baada ya watu kushuka , Anaejua hayo yote ni Masanja.Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?
Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa
View attachment 1039222
Labda abiria ndo wanaingia, sidhan kama hapo wapo hewani
Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Hahah imebidi nicheke!
wabongo wengi hamjui kanuni zinazoongoza bei ya tiketi za ndege. Wiki iliyopita nilipanda KLM kuja Bongo na jamaa zangu. Bei tuliyonunulia tiketi ina tofauti kubwa. Aliyenunua miezi mitatu iliyopita alilipa euro mia tano na ushee. Mimi nilinunua siku mbili kabla ya safari nililipa euro 800. Kuna mwingine alilipa euro 950. Na wote tulikuwa economy class. Ni lazima ujue bei ya tiketi inabadilika. Asubuhi unaweza kukuta bei ndogo mchana ukakuta imekuwa karibu mara mbili. Ingia kwenye wesite za mashirika makubwa ujifanye kama unafanya booking kwa muda tofauti tofauti uone.Route ya mby jamaa wa fast jet ilikuwa tkt kawaida laki imezid sana laki na nusu! Sasa tokea wawafukuze limekuja hili air tz! Aisee nauli 370000 na mda wote wanakwambia imejaa! Fast jet walifanya hadi route 3 kwa siku mby to dar, lkn hawa jamaa iko route moja per day! Ukienda kwenye website yao leo uliza tkt ya keshokutwa wanakwambia imejaa ya kesho yake unaambiwa 370000 baada ya siku tatu ukija kuangalia unaona ile uliyoambiwa ya jana ya 370000 iliuzwa kwa 250000 unabaki unashangaa!
Hawa vijana wetu tatizo wabeba vichwa vikubwa mzigo kwa miguu yao sijui ni lini wataanza kutumia ubongo.Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
wabongo wengi hamjui kanuni zinazoongoza bei ya tiketi za ndege. Wiki iliyopita nilipanda KLM kuja Bongo na jamaa zangu. Bei tuliyonunulia tiketi ina tofauti kubwa. Aliyenunua miezi mitatu iliyopita alilipa euro mia tano na ushee. Mimi nilinunua siku mbili kabla ya safari nililipa euro 800. Kuna mwingine alilipa euro 950. Na wote tulikuwa economy class. Ni lazima ujue bei ya tiketi inabadilika. Asubuhi unaweza kukuta bei ndogo mchana ukakuta imekuwa karibu mara mbili. Ingia kwenye wesite za mashirika makubwa ujifanye kama unafanya booking kwa muda tofauti tofauti uone.
Angekuwa amekaa ningeiyimisha hamna abiria, ila kwa kuwa kasimama na air hostesses nyuma yake wamesimama ni wazi ndege haiko on the move yet au ndio imetulia sasa. Abitia bado wanapanda au abiria wameshuka.Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?