Masanja Mkandamizaji akosa uzalendo kwa nchi yake! Ajipiga picha na kuonesha ndege bila abiria

Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
Punguza mhemko.Ushindi 2020 upo kama kawaida .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah ndo maana hakupata ugumu wa kutoa ndege iende kwa Ruge
 
Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
Wewe kweli hamnazo. Hivi unategemea vyama vya upinzani vifanye nini ili vipate credit ili hali havikusanyi kodi? Kanunua ndege kwa hela yake? Watanzania si wajinga kama unavyofikiri. Wanauwezo wa wa ku-analyse mambo (Magufuli, 2019).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini kuzima simu wakati unaweza kuiweka katika flight mode na ukaendelea kuselfika,,
Huo utakuwa ushamba ulioje watu mpo angani wewe unajipiga selfie?
Most likely hiyo ni before take - off ila haimaaniashi kuwa watu walikuwa wanaingia, inaonyesha ilikuwa empty.
Nishasafiri na ndege international na ilikuwa almost empty. hiyo kawaida, ndege huwa haikai idle.
 
Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?

Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa

View attachment 1039222
Labda abiria wanashuka
 
Nchi imepataje shida hapo?rais alishasema serikali haipatagi hasara,halafu hizo ndege zimeandikwa hapa kazi tu,slogan ya ccm sidhani kama ni za watanzania wote,siyo kila mtu ni ccm.
Mkuu hiyo picha ni ya ndege wakati wa kuingia...Huwezi kujiselfie kama watu wamejaa kwa kua watu hua hawapendi kupigwa picha.
Tatizo ni kwamba watu wakiona ndege imejaa wanakua kimya ila mazingira yoyote ambayo sio mazuri kwa nchi yetu wanafurahi.
Kuna wengine wanaomba Mungu tuwe na hali ngumu hadi serikali ishindwe kulipa mishahara...hapa ndo najiuliza hii roho watu wanaipata wapi?
 
Watanzania wengi bado washamba, na hasaa wanaoishi dar na pwani ni washamba kupitiliza....unajiselfie ili iweje! Halaf hapo hapo anaipost kwenye mitandao, ndio maana waarabu na wazungu wanatucheka....
 
Back
Top Bottom