Masanja Mkandamizaji akosa uzalendo kwa nchi yake! Ajipiga picha na kuonesha ndege bila abiria

Ukizoea kupanda basi za ordinary ndio madhara yake, jamaa anadhani kwenye ndege mnapishana pushana tu kwenye korido.
Hongera zako kwa kupanda maranyingi boss

Acha sisi tukomae na mabasi yetu chief

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
Kuna vichwa unaweza kikuta kimenyolewa fresh, kimepigwa na make up ya kufa mtu, nywele ina ng'aa, mashavu yananukia kinoma ila kikifungua mdomo kuanza kuongea ni uharo mtupu. Kinachoniuma ni pale ninapogundua kuwa huwa na yeye anaenda kupiga kura.
 
Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?

Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa

View attachment 1039222
Acha ushamba wewe. Hapo abiria wanatelemka
 
Mwenyewe anakwambia amechelewa na ndege imemsubiria abiria wa mwisho Masanja. Huu ni msiba shekh
Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hamtaki kupanda tutaendelea kubeba mbuzi na hata korosho
 
Najua sana bei ya tkt! Hukai mby hujui tume athirika vipi watu wa mby! Nimesema leo unaingia kwenye website yao wanakwambia tkt ya kesho ni 370000 halafu imejaa, ukija keshokutwa unaona tkt ile ile ya 370000 iliuzwa kwa 250000! Sijazungumzia booking ya miezi miwili au mitatu, naelewa itakuwa cheap sasa cheap ya air tz ni 120000 upwards wakati cheap ya fast jet ilikuwa 60000! Kumbuk pia fast jet ilikuwa ina route mpaka mara tatu kwa siku lkn hawa jamaa ni once na ndege inayokuja mby ina chukua abiria wachache kuliko jets za fast jets! Maana hayo ma dreamliner yalikuja once kwa show off tuu! Routes zake ni huko mwanza etc!
Utajuaje kama iliuzwa 250000? N autajuaje ni ile ile ticket uliyotaka kununua na siyo nyingine?
 
Mbona wanao tuongoza wanafurahi tunavyo pata shida, ili waendelee kututawala wakituaminisha wao ndo mwarobaini pekee wa matatizo yetu.
Unamaanisha yule anayeomba usiku na mchana tunyimwe misaada au tushitakiwe? Au unamaanisha yupi?
 
Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
kuna mambo nikisoma najikuta naandika matusi nafuta mwisho naishia kuunga mkono mwenye fikra kama zangu!hawa nyumbu wanashida sana !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom