Masanja Mkandamizaji akosa uzalendo kwa nchi yake! Ajipiga picha na kuonesha ndege bila abiria

Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
Tupe evidence kwamba iko ground.ikiwa angani hawezi kufanya hlo tukio?
 
Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?

Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa

Mtoa maada ni mpuuzi, pengine kawahi kuingia, au pengine ni wakati wa kushuka yeye kasubiri watu wapungue ndio kapiga picha, au ni kwenye lay ove, kwa mfano unatoka Kilimanjaro kupitia Zanzibar kwenda Dar, mkifika Zanzibar, watu wa Zanzibar wote wanashuka, wanaingia wengine wa Zanzibar Dar,
 
Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?

Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa

View attachment 1039222

Mleta mada mchochezi, hivi huoni abiria humo!?
 
Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?

Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa

View attachment 1039222
Umejuaje ya kuwa haikuwa na abiria, je kama aliwahi kufika na akapiga picha kabla ya abiria wengine kufika, pengine yawezekana alipiga picha baada ya watu kushuka , Anaejua hayo yote ni Masanja.

Tupe hoja ya msingi kudhibitisha Maada maada yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Route ya mby jamaa wa fast jet ilikuwa tkt kawaida laki imezid sana laki na nusu! Sasa tokea wawafukuze limekuja hili air tz! Aisee nauli 370000 na mda wote wanakwambia imejaa! Fast jet walifanya hadi route 3 kwa siku mby to dar, lkn hawa jamaa iko route moja per day! Ukienda kwenye website yao leo uliza tkt ya keshokutwa wanakwambia imejaa ya kesho yake unaambiwa 370000 baada ya siku tatu ukija kuangalia unaona ile uliyoambiwa ya jana ya 370000 iliuzwa kwa 250000 unabaki unashangaa!
wabongo wengi hamjui kanuni zinazoongoza bei ya tiketi za ndege. Wiki iliyopita nilipanda KLM kuja Bongo na jamaa zangu. Bei tuliyonunulia tiketi ina tofauti kubwa. Aliyenunua miezi mitatu iliyopita alilipa euro mia tano na ushee. Mimi nilinunua siku mbili kabla ya safari nililipa euro 800. Kuna mwingine alilipa euro 950. Na wote tulikuwa economy class. Ni lazima ujue bei ya tiketi inabadilika. Asubuhi unaweza kukuta bei ndogo mchana ukakuta imekuwa karibu mara mbili. Ingia kwenye wesite za mashirika makubwa ujifanye kama unafanya booking kwa muda tofauti tofauti uone.
 
Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
Hawa vijana wetu tatizo wabeba vichwa vikubwa mzigo kwa miguu yao sijui ni lini wataanza kutumia ubongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabongo wengi hamjui kanuni zinazoongoza bei ya tiketi za ndege. Wiki iliyopita nilipanda KLM kuja Bongo na jamaa zangu. Bei tuliyonunulia tiketi ina tofauti kubwa. Aliyenunua miezi mitatu iliyopita alilipa euro mia tano na ushee. Mimi nilinunua siku mbili kabla ya safari nililipa euro 800. Kuna mwingine alilipa euro 950. Na wote tulikuwa economy class. Ni lazima ujue bei ya tiketi inabadilika. Asubuhi unaweza kukuta bei ndogo mchana ukakuta imekuwa karibu mara mbili. Ingia kwenye wesite za mashirika makubwa ujifanye kama unafanya booking kwa muda tofauti tofauti uone.

Najua sana bei ya tkt! Hukai mby hujui tume athirika vipi watu wa mby! Nimesema leo unaingia kwenye website yao wanakwambia tkt ya kesho ni 370000 halafu imejaa, ukija keshokutwa unaona tkt ile ile ya 370000 iliuzwa kwa 250000! Sijazungumzia booking ya miezi miwili au mitatu, naelewa itakuwa cheap sasa cheap ya air tz ni 120000 upwards wakati cheap ya fast jet ilikuwa 60000! Kumbuk pia fast jet ilikuwa ina route mpaka mara tatu kwa siku lkn hawa jamaa ni once na ndege inayokuja mby ina chukua abiria wachache kuliko jets za fast jets! Maana hayo ma dreamliner yalikuja once kwa show off tuu! Routes zake ni huko mwanza etc!
 
Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?

Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa

View attachment 1039222
Angekuwa amekaa ningeiyimisha hamna abiria, ila kwa kuwa kasimama na air hostesses nyuma yake wamesimama ni wazi ndege haiko on the move yet au ndio imetulia sasa. Abitia bado wanapanda au abiria wameshuka.
 
Back
Top Bottom