Masanja Mkandamizaji akosa uzalendo kwa nchi yake! Ajipiga picha na kuonesha ndege bila abiria

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?

Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa

masanja.PNG
 

sinide

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
459
500
Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
 

Goldman

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
1,830
2,000
Route ya mby jamaa wa fast jet ilikuwa tkt kawaida laki imezid sana laki na nusu! Sasa tokea wawafukuze limekuja hili air tz! Aisee nauli 370000 na mda wote wanakwambia imejaa! Fast jet walifanya hadi route 3 kwa siku mby to dar, lkn hawa jamaa iko route moja per day! Ukienda kwenye website yao leo uliza tkt ya keshokutwa wanakwambia imejaa ya kesho yake unaambiwa 370000 baada ya siku tatu ukija kuangalia unaona ile uliyoambiwa ya jana ya 370000 iliuzwa kwa 250000 unabaki unashangaa!
 

drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,161
2,000
yaani unapiga selfie huku unacheeka na ji dege lipo wazi kabisa,viti vitupuuuuu,yule flight attendant na yeye ana smile tu ,aisee inasikitisha,ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?
Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu,nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa View attachment 1039222

Mtoa mada wewe ndio huna uzalendo na nchi yako kwanza unajua huyu mshamba masanja alipiga picha mda gani mimk nilikuwepo ndege imetua na abiria wameteremka wote yeye kabaki nyuma akajipiga picha huwa kawaida yake utamuona akija air port ya mwanza na tuvisichana wakati akiondoka wanamsindikiza basi si picha hizo mpaka unakereka ushamba hauna maskini au tajiri
 

drilling

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
2,161
2,000
Route ya mby jamaa wa fast jet ilikuwa tkt kawaida laki imezid sana laki na nusu! Sasa tokea wawafukuze limekuja hili air tz! Aisee nauli 370000 na mda wote wanakwambia imejaa! Fast jet walifanya hadi route 3 kwa siku mby to dar, lkn hawa jamaa iko route moja per day! Ukienda kwenye website yao leo uliza tkt ya keshokutwa wanakwambia imejaa ya kesho yake unaambiwa 370000 baada ya siku tatu ukija kuangalia unaona ile uliyoambiwa ya jana ya 370000 iliuzwa kwa 250000 unabaki unashangaa!

Air tanzania kuna wizi sana wa kuuza tiketi na haitapita mda kampuni itafirisika wawekeni mameneja wazungu kama kenya air emirate qatarair
 

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
MTOA MADA WEWE NDIO HUNA UZALENDO NA NCHI YAKO KWANZA UNAJUA HUYU MSHAMBA MASANJA ALIPIGA PICHA MDA GANI MIMK NILIKUWEPO NDEGE IMETUA NA ABIRIA WAMETEREMKA WOTE YEYE KABAKI NYUMA AKAJIPIGA PICHA HUWA KAWAIDA YAKE UTAMUONA AKIJA AIR PORT YA MWANZA NA TUVISICHANA WAKATI AKIONDOKA WANAMSINDIKIZA BASI SI PICHA HIZO MPAKA UNAKEREKA USHAMBA HAUNA MASKINI AU TAJIRI
ALIKUWA ANAENDA MOSHI KWA HIYO ILIKUWA NI TRIP YA KIA.KAKOSA UZALENDO SANA
 

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,079
2,000
Kuna watu wanafurahi na kuomba nchi ipate shida. Watanzania ni watu wa ajabu sana
Nchi imepataje shida hapo?rais alishasema serikali haipatagi hasara,halafu hizo ndege zimeandikwa hapa kazi tu,slogan ya ccm sidhani kama ni za watanzania wote,siyo kila mtu ni ccm.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom