Masanja Mkandamizaji akosa uzalendo kwa nchi yake! Ajipiga picha na kuonesha ndege bila abiria

Atakamatwa huyu au tayari washamnasa, mateso yake sasa! 🙉🙉🙉

Yaani unapiga selfie huku unacheeka na ndege ipo wazi kabisa, viti vitupuuuuu, yule flight attendant na yeye ana smile tu. Aisee! inasikitisha, ulishindwa kupiga selfie kwa kujigeuzia kwenye kioo au kule nyuma chooni?

Huku ni kukosa uzalendo na kuitukanisha nchi yetu, nalaani sana kitendo hiki, ATCL mumpige marufuku huyu jamaa maana kuna uwezekano katumwa na yale mabeberu ya Kanisa kuchafua jina lenu lilitukuka kimataifa na kitaifa

View attachment 1039222
 
Acha ujinga weye!!!! Mbona pilot aliruka na Dreamliner toka Kilimanjaro hadi Kampala ikiwa na abiria sita? Na mmoja wa abiria hao sita akapiga picha na kuiweka mtandaoni?

Hakuna wasafiri wa kujaza hizo ndege kwenye kila route ni KUKURUPUKA TU na kutaka sifa matokeo yake ni hasara kubwa sana kwa Taifa.

Huyo kawahi kuingia tu akajiselfisha
Utairusha hiyo ndege tupu namna hiyo? Muwe mnatumia hata theluthi moja ya ubongo wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawafurahii bali wanashangaa maamuzi ya mtu mmoja kuchota $464 millions hazina bila idhini ya Bunge wakati kuwa na ndege si kipaumbele cha Watanzania zaidi ya 90% kwa hiyo huyo one man show ukurupukaji wake ukishindwa watu wanasema TULISEMA SISI!

Haihitaji Phd ili kujua safiri was anga si kipaumbele kwa Watanzania wengi na gharama ya usafiri huo haishikiki na Watanzania wengi kutokana kuwa na vipato vidogo.

Kuna watu wanafurahi na kuomba nchi ipate shida. Watanzania ni watu wa ajabu sana
 
MWENYEWE
Kuna watu wanafurahi na kuomba nchi ipate shida. Watanzania ni watu wa ajabu sana
NASHANGAA KAKA,SERIKALI YETU CHINI YA JPM INAJITAHIDI SANA KUJENGA UMOJA WA KITAIFA ,JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYA USALAMA VINATENDA HAKI MNOO,DEMOKRASIA IPO KABISA HATA PROFESA KABUDI KASEMA HILO JAMANI,UHURU WA KUJIELEZA UPO KILA RAIA ANAJISIKIA NI RAIA WA NCHI HII HAKUNA CHAMA KINACHOPENDELEWA ILA KUNA WATU HAWAITAKII MEMA NCHII HII KAMA KINA MBOWE WALIOTOA BASTOLA HADHARANI NA KUMUUA AKWELINA(RIP)NCHI INAENDESHWA KWA HAKI SANA BASI TU KUNA MAJITU HAYAONI JUHUDI ZOTE HIZI ZA AWAMU YA TANO
 
Acha ujinga weye!!!! Mbona pilot aliruka na Dreamliner toka Kilimanjaro hadi Kampala ikiwa na abiria sita? Na mmoja wa abiria hao sita akapiga picha na kuiweka mtandaoni?

Hakuna wasafiri wa kujaza hizo ndege kwenye kila route ni KUKURUPUKA TU na kutaka sifa matokeo yake ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Sawa janjaro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndege iko on ground abiria ndo wanapanda mmoja baada ya mwingine au mlitaka asubiri wapande wote ndo apige picha?
Nyumbu ni nyumbu tu miaka yote na atabaki kuwa nyumbu. Na mtaishia humo humo kwenye propaganda mara paap 2020 hiyo hapo utasikia ooh kura zimeibiwa kumbe mlipoteza mda kwenye ujinga badala ya ku plan how to win the uchaguzi.
Mwenzenu kununua ndege tayari ni credit mojawapo ya kushinda uchaguzi na nyie credit yenu ni kupinga ununuzi wa ndege. Mjinga gani awape kura nyie?????
Kanunua kwa hela yake mfukoni ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Air tanzania kuna wizi sana wa kuuza tiketi na haitapita mda kampuni itafirisika wawekeni mameneja wazungu kama kenya air emirate qatarair
Kenya Airways nayo imefirisika wanataka kuifufua kwa kuiunga na mashrika mengine ya umma
 
UPO SAHIHI, UKIWA ANGANI INATAKIWA KUKAA TU HATA UKIENDA CHOONI KUKATA GOGO UNAPEWA WHEELCHAIR HAMNA KUSIMAMA WALA KUTEMBEA
Kwahiyo hapo yuko chooni??? Sio kwamba huwezi kusimama ni kwamba huruhusiwi kufanya hivo na hata ukifanya ivo utaonekana mshamba kutoka hukooo ndani ndani sijui chato..... au geita... sijui nyamuswa...... au kyabakari.....
 
KWELI ,WEWE UTAKUWA GENIUS,ILA NIMEPATA UPDATE HAPA.NDEGE ILIJAA SIKU HIYO KUMBE ILIKUWA HAIJAPAA,FULL SEAT BWANA,SERIKALI HAIPATAGI HASARA
 
Back
Top Bottom