Masalia wa Zitto Kabwe CHADEMA watajwa kuwa ni waanzilishi wa CHAUMMA

Yaliyoandikwa nahisi yana ukweli kwa sehemu kubwa sana....na mleta mada ni mmojawao....ila kama kama Kafulila aliitwa sisimizi basi hawa kwa pamoja wao waitwe nani sijui???ila hawana madhara hata kidogo kwa CDM boss wao mwenyewe hana madhara itakuwa wao!?
 
chadema kweli mna kazi hapo jamani mtasema hakuna ukabila why atetewe mmoja tu kwa hiyo saanane hakushiriki kuanzisha au vipi kweli chadema ni chama cha watu fulani kwa lengo fulani hameni vijana chama cha ukabila hiki

Mfa maji mkubwa wewe.
 
source ya haya maneno ni mwita maranya na molemo ambao nikiamuwa kuwataja majina yao hapa JF napata bann ila niko nao siku zote na leo makao mkuu ya chadema hiyo ndiyo ilikuwa story kutwa nzima , iwe kwa akina gwakisa wanaoshinda pale nje na kula kwa mama ntilie au ofisi zote za chadema makao makuu , kwa kifupi hao jamaa wawili hapo juu wote ni wakurugenzi chadema na hawakujua kama hii story itavuja kiurahisi just imagine kwa nini wote wanamtetea benn saanane na si mchange wala juliana ??

You're right, ukita-expose jina real la mtu utakula ban, lakini haikatazwi kuji-expose wewe mwenyewe. Sasa unaonaje ukiji-expose wewe mwenyewe kwanza? I hope ukifanya hivyo hata huyo Mwita na Molemo watakimbia hapa kwavile watafahamu kwamba kweli mlikuwa mna-discuss hizo issue!
 
ahsante kwa kunifumbua macho kuwa nia yako ni nini hasa, kumbe bado unapigia show wimbo wa ukabila uliochuja!

Poor you and shame on you.
 
kweli jamani mkitoa hamko biased tunajuwa kabisa kuwa molemo na mwita maranya ambao ni wakurugenzi wa chadema ndiyo wamenisimulia hii story leo uzuri nilirecord kwenye simu kama mnataka audi niiweke??

Weka mkuu tusikie mambo mazito.
 
You're right, ukita-expose jina real la mtu utakula ban, lakini haikatazwi kuji-expose wewe mwenyewe. Sasa unaonaje ukiji-expose wewe mwenyewe kwanza? I hope ukifanya hivyo hata huyo Mwita na Molemo watakimbia hapa kwavile watafahamu kwamba kweli mlikuwa mna-discuss hizo issue!

Kula tano mkuu wangu...
 
source ya haya maneno ni mwita maranya na molemo ambao nikiamuwa kuwataja majina yao hapa JF napata bann ila niko nao siku zote na leo makao mkuu ya chadema hiyo ndiyo ilikuwa story kutwa nzima , iwe kwa akina gwakisa wanaoshinda pale nje na kula kwa mama ntilie au ofisi zote za chadema makao makuu , kwa kifupi hao jamaa wawili hapo juu wote ni wakurugenzi chadema na hawakujua kama hii story itavuja kiurahisi just imagine kwa nini wote wanamtetea benn saanane na si mchange wala juliana ??

Naomba uthitishe haya uliyoandika hapa.
 
Propaganda za ukabila na udini ni ngoma manayocheza CCM kuwagawa watu ili watawale milele bila kujal madhara yake!
 
hakuna ukabila unaojadiliwa hapa ni molemo tu ambaye ni ....., ndiyo kaleta baada ya kuanza kumtetea ben pekee yake
 
Zitto Kawatuma sio, na mtajibebasana mwaka huu.
We jitu lina join JF na Post yake ya kwanza ku post ni Zitto,
 
Mvivu wa kufikiri tu atakayekuwa hadi sasa haamini kuwa cdm ni chama cha kabila fulani. Na cdm dhambi hii inawafanya wasilale na hawana njia ya kuchomoka huko. Kitaeleweka tu kabla ya 2015. Mtoa mada hongera sana, wewe umeandika jina lako katika kitabu cha mashujaa wasema kweli wanaochukia ukabila na udini. Endelea usiogope matusi ya washabiki wa cdm, sasa wanatukana tu, hoja Kushne.
 
Tutasikia mengi kuelekea uchaguzi mkuu.

Ambayo yanapikwa pale mtaa wa lumumba nanyi mnapewa kazi ya kuyapost hapa.
Mnaanzisha thread zisizokuwa na kichwa wala miguu ili kutimiza majukumu yenu yanayowapatia buku mbili kwa siku.
Nilisikia mlikuwa na kamgomo hivi karibuni kudai nyongeza ya posho, vipi imeongezwa?
 
Kusema ukweli, mimi niliposoma tu hii kitu cha kwanza kuniingia kichwani was "it cant be Ben Saanane"!
 
hakuna ndoto nzuri km ndoto ya mchana...according to MP wa magamba,coming to the post,it is a mere dream.asante kwa taarifa halafu nenda ofisi ndogo pale lumumba ukachukue per diem yako.
 
chadema kweli mna kazi hapo jamani mtasema hakuna ukabila why atetewe mmoja tu kwa hiyo saanane hakushiriki kuanzisha au vipi kweli chadema ni chama cha watu fulani kwa lengo fulani hameni vijana chama cha ukabila hiki

mkuu kama huna madini ya kuchangia nenda fb mkaendeleze umbea huko.
 
Back
Top Bottom