Masalia wa Zitto Kabwe CHADEMA watajwa kuwa ni waanzilishi wa CHAUMMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Masalia wa Zitto Kabwe CHADEMA watajwa kuwa ni waanzilishi wa CHAUMMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Aug 3, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Vijana takribani kumi wanaosemekana kuwa ni wafuasi wa Zitto Kabwe na wahanga wakubwa wa uchaguzi wa BAVICHA ndani ya CHADEMA ambao majina yao nitayweka hapa chini baadaye wanasemekana kuwa ni miongoni mwa vijana wachache waliojitoa kuwa waanzilishi wa chama cha jamii CHAUMMA na mwenyekiti wa hicho chama anategemewa kuwa Kafulila.

  Vyanzo vya ndani vinasema vijana hao amabo kwa kiasi kikubwa wamechoshwa na tuhuma za kila mara za katibu mkuu wa CHADEMA kuwatuhumu kuwa wao ni watu wa Zitto wameamua sasa kukihama rasmi na huo mpango utajulikana karibuni.

  Vijana hao ni:
  1. Ben Saanane kijana huyu ni msomi mwenye masters katika fani ya uchumi na inasemekna haaminiki na chama chake japo anatokea kaskazini na sababu ni alliance yake na Mwampamba wakati wa uchaguzi na inasemekana amejiapanga kuibomoa CHADEMA mara atakapohama na pia inasemekana hakubaliki sana ndani ya kundi lingine analotaka kuhamia wakidhani ni mamluki
  2. Habib Mchange ni mhanga mkuu wa uchaguzi wa BAVICHA maana alipigwa vita na kuwekewa mitego mingi ili aonekane ni mra rushwa na mtoa rushwa na pia hapendwi kwa uhusiano wake wa karibu na Zitto Kabwe
  3. Mwampamba huyu naye anatuhuma za kufanya aliance na Benny Saanane pamaoja na Nyakarungu kwenye uchaguzi na kuna tuhuma pia zisizo nz mshiko kuwa yeye ndiye kinarra wa kuwachafua wabaya wake kwenye mitandao akitumia account bandia kitu amabacho amekikana mara kwa mara maana pamoja na kuwa na degree yake si mtu aliyebobea sna kwenye maswala ya computer
  4. Greyson Nyakarungu na yeye ni kama tuhuma za mwampamab na saanane
  5. Juliana Shonza huyu ni makamu mwenyekiti wa BAVICHA na alianza kukorofisha na meza kuu hasa baada ya kuonekana yuko benet na Zitto na pia tamko lake la kupinga matamshi ya Heche juu ya Shibuda , na kusema kuwa Heche hilo ni tamko lake maana alikuwa ametumwa na Dr.Slaa
  6. Ras huyu ni kijana aliyekuwa mwenyekiti wa BAVICHA amabye Dr.Slaa alimvua uanachama mwaka huu mjini Geita
  7.
  8
  9
  10
  Mengine nitamlizia endeleeni na mjadala na please mods naoamba msifute post yangu

  WANAJF,
  HUU UZI HAUJAANZISHWA NA TUNTEMEKE,NI MTU AMEFANYA MCHEZO MCHAFU WA KUCHEZEA NA KUINGILIA ACCOUNT YANGU NA KUWEKA HUU PUUZI HAPA.
  MODS NAOMBA SANA TENA SANA,MNIREKEBISHIE HILI TATIZO MAPEMA KABISA.TUNTEMEKE HAHUSIKI HA HII KITU ILIYOWEKWA HAOPA NA IKUMBUKWE HII POST ILIWEKWA MWEZI WA 8 MWAKA 2012 KAMA INAVYOONESHA.

  WANA JF,WATU WANAJITAHIDI SANA KUMSAKAMA TUNTEMEKE KUANZISHA MAMBO KAMA HAYA.ILI HALI SI KWELI KABISA.HUYO TUNTEMEKE NI SHABIKI WA ZITTO HAPA ANAONEKA AKIMSKAMA ZITTO KABWE INAKUJA KWELI???
  TUNTEMEKE ANASEMA
  NO CHOICE BUT DEMOCRACY
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  utakuwa unamsingizia Ben
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kweli wewe ni msiba. Ambacho sijafahamu ni nani kafariki!
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mods tafadhali msiruhusu watu kuleta vitu vya uongo hapa Jukwaani.Huyu MWIBA anajulikana ni mfuasi wa Magamba anayetaka kuleta uchonganishi CDM.Zusheni yote lakini mtendeeni haki Ben Saanane hawezi kuwa mjinga kama Mwiba anavyodhani.
   
 5. mndwadage

  mndwadage JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 345
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  endelea ndugu....
   
 6. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Tunataka source na evidence then tuendelee na mjadala...
   
 7. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni vyema watu wakaja na data zaidi kama tuhumu hizi ni za kweli lakini kama ni za uongo na chuki binafsi kwa watuhumiwa basi itakuwa is not fair at all, ila kama kweli hawa vijana wenzetu ndio wanaasisi mipango hii ya kuvuruga chama na kuhamia CHAUMA basi watakuwa wamejiroga wenyewe na kiukweli vijana hatuhitaji tena kuyumbishwa na vyama vingine vya kimamluki bali moyo wetu upo CHADEMA na tuna iman na viongozi wetu.

  FEAR NOT.
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  wewe Molemo hata wewe tunajuwa ni hilo zao la kaskazini na ndiyo mnaosababisha ben asiaminike kwa wenzake
   
 9. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Naona vijana wa Zitto mmeamua kukichafua chama...mie naomba niwaulize mbona mnaangaika ivyo??tatizo nini??
  Jengeni chama sio kila kukicha mnaangaika kukigawa,vijana lakini mnakuwa kama "wanga".
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Your right mkuu.
   
 11. M

  Molemo JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Nakuapia hutafanikiwa kuigawa CHADEMA
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu tunahitaji data na sio kuchimekeana maneno ovyo that w counting as cheap propaganda, bkoz unayoyasema hayaendan kabisa kwa hata kama umesema molemo ni wa kaskazn sasa mbona hata Ben ni wa kaskazn? Pia si vyema kushutumiana bila vivid examples kwan itapelekea mods waondoe haraka thread yako.

  FEAR NOT.
   
 13. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Jitahidi kutofautisha JF na fb group ya shambani leo!
   
 14. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Msimpuuze mwiba jamani! Huyu si i TISS! Yawezekana hicho chama kimeanzishwa na TISS, lakini msiwaingize na wasokuwemo!
   
 15. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Sorry, i meant msiba, mwiba!
   
 16. M

  Molemo JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu wangu huyu Mwiba anachokijua ni kuleta thread za kukashifu CDM kila siku.Huyu Mwiba akileta thread za kusifu basi ni kwa ajili ya CCM au CUF.Na mara nyingine anapenda kuleta uchochezi wa kidini.Huyu Mwiba ni wa kuogopa kama Ukoma.
   
 17. M

  Molemo JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wanaanzisha chama wao halafu wanasingizia watu wengine.Shame.
   
 18. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  chadema kweli mna kazi hapo jamani mtasema hakuna ukabila why atetewe mmoja tu kwa hiyo saanane hakushiriki kuanzisha au vipi kweli chadema ni chama cha watu fulani kwa lengo fulani hameni vijana chama cha ukabila hiki
   
 19. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  huyu msiba ni ZITO mwenyewe kwani post zake zote zinamhusu zito
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Tutasikia mengi kuelekea uchaguzi mkuu.
   
Loading...