Masalia wa Zitto Kabwe CHADEMA watajwa kuwa ni waanzilishi wa CHAUMMA

mimi siwezi kuweka ushaidi huku kuna masihara mengi huku nataka nifanye mambo kisomi

Acha uongo. Ben Saanae aliweka ushahidi humu humu na hatua zikachukuliwa. Hapa tunachekecha, ushahidi wa uongo utajulikana tu, wewe weka tu hapa.
 
The part z mecd up, trouble z in the part, confusion all around .................. 2015 itawezekana kweli kwa mwendo huu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom