Masaibu ya wanaume

Masaibu ya wanaume

Wanawake wengi wanatuona sisi wanaume mazoba sn mwingine anakazi ila anataka umpe hela ya matumizi haaaa kisa nimemwoa aende zake bwana kama vp afe na njaa tu pumbafuuu
 
Wanawake wengi wanatuona sisi wanaume mazoba sn mwingine anakazi ila anataka umpe hela ya matumizi haaaa kisa nimemwoa aende zake bwana kama vp afe na njaa tu pumbafuuu
jaribu kumwambia uone ka hujasikia akiongea na simu "baby ile ng'ombe leo si imejitoa,njo nchukue basi"
 
Bora aende zake tu kwanza nimeshagonga sana tu ndoa zenyewe tia maji tia maji
uki imagine ule utamu wake rafiki ako ndo anaenda kugwagwaduliwa ishhhhhhh na ile miguu anavyoitupa lohh!!! hutakubali wewe. ule muo kwote uko kifundo kikufanye utupe
 
uki imagine ule utamu wake rafiki ako ndo anaenda kugwagwaduliwa ishhhhhhh na ile miguu anavyoitupa lohh!!! hutakubali wewe. ule muo kwote uko kifundo kikufanye utupe
Kugegedwa agegedwe tu maana sijamkuta nazo afu mbaya zaidi hela ninazompa ndo anaenda kul nazo bata ss si bora aamshe tu????
 
Huwa mnayataka na nyie..kwanini ujipe majukumu ya ubaba mzazi wakati hauko radhi. Ukiamua kufanya yote hayo maanaake umeridhia,umependa na uwezo wa kumudu unao. Msipende kulalama bila sababu ya msingi.
 
Masaibu wanayo yapitia wanaume ni magumu....
Kodi nikupe..
nikuvishee...
nikulishe.....
nywele nazoo....
kila mwezi emagency....
nikufate na mguu....we ukija kwangu uje na taxiiii tena mi niilipie
naiskiaga baga tu.......napambana ugali maziwa
we ule chips kuku....
aishhhhhhhhh!!!!

utapata mimba tu siku moja
Kwan mungu aliposema mtakula kwa jasho ulifikiri alikua anatania
 
Huwa mnayataka na nyie..kwanini ujipe majukumu ya ubaba mzazi wakati hauko radhi. Ukiamua kufanya yote hayo maanaake umeridhia,umependa na uwezo wa kumudu unao. Msipende kulalama bila sababu ya msingi.
duhhhh!!!! kumbe ni mkakati madhubuti wa kutukamatia chini,nanyie kwanini mnaomba tena mkianza sema baby naomba ya nanii
 
tutaachana kwa amani kabisa maana kuchapiwa ni siri ya ndani haipendezi watu wakajua, lakini lazima nimroge

Mganga utampata wapi?!! Maana Mganga wa kuroga nae ana njaa, lazima akule hela...[emoji23][emoji23]. Ni shiidah!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom