masai alikua anasafili na alikua kakaa sit ya mbele akawa anamuangalia deleva akibadilisha gia kila wakati ilipofika wakati wakwenda kula watu wote wakashuka ila yeye hakwenda kwasababu alikua nakibuyu chake cha maziwa, akaanza kuichokonoa ile gia hadi ikachomoka, dereva alipokuja masai akamwambia" hey rafiki ile kitu ulikua unahangaika kutoa tayali nishatoa"
Teh teh teh teeeeeeeeeeeeeeeeeeheeeeeeeeeeeeeeeee!:lol:masai alikua anasafili na alikua kakaa sit ya mbele akawa anamuangalia deleva akibadilisha gia kila wakati ilipofika wakati wakwenda kula watu wote wakashuka ila yeye hakwenda kwasababu alikua nakibuyu chake cha maziwa, akaanza kuichokonoa ile gia hadi ikachomoka, dereva alipokuja masai akamwambia" hey rafiki ile kitu ulikua unahangaika kutoa tayali nishatoa"