masai na dereva

masai na dereva

TOTS SHALO

Senior Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
152
Reaction score
25
masai alikua anasafili na alikua kakaa sit ya mbele akawa anamuangalia deleva akibadilisha gia kila wakati ilipofika wakati wakwenda kula watu wote wakashuka ila yeye hakwenda kwasababu alikua nakibuyu chake cha maziwa, akaanza kuichokonoa ile gia hadi ikachomoka, dereva alipokuja masai akamwambia" hey rafiki ile kitu ulikua unahangaika kutoa tayali nishatoa"
 
Hahaahha simple like that imetulia

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
masai alikua anasafili na alikua kakaa sit ya mbele akawa anamuangalia deleva akibadilisha gia kila wakati ilipofika wakati wakwenda kula watu wote wakashuka ila yeye hakwenda kwasababu alikua nakibuyu chake cha maziwa, akaanza kuichokonoa ile gia hadi ikachomoka, dereva alipokuja masai akamwambia" hey rafiki ile kitu ulikua unahangaika kutoa tayali nishatoa"

hahahahahahahahahahaha! Nimeipenda hyo mkuu umetishaa.
 
masai alikua anasafili na alikua kakaa sit ya mbele akawa anamuangalia deleva akibadilisha gia kila wakati ilipofika wakati wakwenda kula watu wote wakashuka ila yeye hakwenda kwasababu alikua nakibuyu chake cha maziwa, akaanza kuichokonoa ile gia hadi ikachomoka, dereva alipokuja masai akamwambia" hey rafiki ile kitu ulikua unahangaika kutoa tayali nishatoa"

alikuwa au alikua....alikua=growing up
 
MKUU mpaka kila mtu ajue kwamba we ni mwalimu wa kiswahili la 3 A

ha ha ha,ndio maana wanafunzi walirudi majumbani kwao eti mwalimu hayupo,kumbe mwalimu anapiga pindi la kiswahili Jf
 
masai alikua anasafili na alikua kakaa sit ya mbele akawa anamuangalia deleva akibadilisha gia kila wakati ilipofika wakati wakwenda kula watu wote wakashuka ila yeye hakwenda kwasababu alikua nakibuyu chake cha maziwa, akaanza kuichokonoa ile gia hadi ikachomoka, dereva alipokuja masai akamwambia" hey rafiki ile kitu ulikua unahangaika kutoa tayali nishatoa"

uwiii mbavu zangu jamani!
 
ha ha haaaaa!wamasai nao kama bushmen wa the gods must be crazy!
 
MKUU mpaka kila mtu ajue kwamba we ni mwalimu wa kiswahili la 3 A

hiyo si suala la kuwa mwalimu, unapaswa kujua unachoandika ni nini. ninyi ndiyo mnaowafundisha watoto kuwa 3+3=33 kwa sababu ujinga wenu. badala ya kuandika nilikuwa unaandika nilikua. huoni tofauti hapo.
 
ha ha ha,ndio maana wanafunzi walirudi majumbani kwao eti mwalimu hayupo,kumbe mwalimu anapiga pindi la kiswahili Jf

mpuuzi wewe nilidhani unaakili...huoni tofauti kati ya ; kuwa na kukua?
 
sina akili ndio maana sijaona tofauti,alafu nikifahamu maana ya neno mpuzi tu napigwa ban
 
masai alikua anasafili na alikua kakaa sit ya mbele akawa anamuangalia deleva akibadilisha gia kila wakati ilipofika wakati wakwenda kula watu wote wakashuka ila yeye hakwenda kwasababu alikua nakibuyu chake cha maziwa, akaanza kuichokonoa ile gia hadi ikachomoka, dereva alipokuja masai akamwambia" hey rafiki ile kitu ulikua unahangaika kutoa tayali nishatoa"
kkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk..................jamani mbona nimesema bac punguzeni hivi vichekesho maana nashindwa kufanya kazi zingine kuishia kucheka tu
 
Back
Top Bottom