Masada wakuu

Masada wakuu

kanjunju john

Member
Joined
Nov 13, 2019
Posts
11
Reaction score
5
Shkamoni wakubwa zangu
Na habari za saizi kwa vijana wenzangu.

Mi nikijana Nina mpenzi wangu saizi tuna miezi mitano toka niwe nae ananisumbua kiukweli nampenda nashindwa kumuelewa kabisa skuizi.
mara ya Kwanza before sijaanza kumpenda nilikua nikijana msumbufu saana nilikua na mabibie wengi saana lakini nilivyo anza mahusiano nayeye alinibana saana aliniharibia kwa mabibie wengine woote wakaniacha alinibana kiasi kwamba namimi nikaona tu kwavile ananambia ananipenda na kila ninachohitaji kwake napata Basi Kwanza nitulie tu na yeye.
Shida inakuja toka nimeridhika kuwa nae saizi kagundua nampenda anaanza kunitaftia Visa kila siku nashindwa kumuelewa kabisa ananinunia mara asinijibu sms au akinijibu Basi ni short tu.
Mda mwingi nakaa nafikiria nashindwa kuelewa kwamba hanitaki saizi au vipi naombeni mnisaidie nifanyaje niwe najishusha kwake kila siku ili niwe nae au nichukue 50% zangu tu.ila nampenda saaana tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri kwanza kijana...

Sahivi tunajadiki corona inaishaje

Anajua kuwa kuna korona..??
Mwambie asiache mbachao kwa msala upitao korona i nasi.
 
Marahaba kanjunju
Unaumri wa miaka mingapi?
Hizo Ni dalili zakua hakujari tena

K,K
 
Pole mdogo wangu mapenzi ndivyo yalivyo unaempenda, hakupendi and vice versa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom