Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wanainchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wanainchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbuge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

jitekenye vizuri zaidi.
 
Ubungo haiwezi kwenda kwa muuza magazeti

hyo hyo muuza magazeti ndie tunaemtaka kwani ni fukara mwenzetu na anaejua shida zetu sio hyo mmiliki wa UDA alijimilikisha kifisadi Mali za taifa.
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wanainchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wanainchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbuge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Labda mbuge wa masabuli yako.
 
Katika mwana CCM mwenye wakati mgumu hapa DSM basi ni Masaburi...
 
kingine badala ajenge hoja na sera anaanza kulalamika na kupanic ± mipasho inazihilisha wazi hata bungen hata fanya chochote atakuwa mpiga kelele then yatakuwa yale yale kama ya mwenzie alyekimbia jimbo massabur anafaaa kwa jimbo la ubungo na maendeleo ya ubungo
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wanainchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wanainchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbuge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Kaka unapoweka mada zako humu fikilia kwanza kabla yakupost, tunaish ubungo tunajua siasa chafu anazofanya huyo bosi wako unaemtumikia..
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Mkuu umejitahidi kumutetea lakini kwakipnd hiki siasa ningum sana sana wananchi wameshaelimika sana sana wanajuta ukweli nauongo. Hapo ukweli haupo mkuu niko jirani naubungo nimekua nikiudhulia mikutano mingi yakampeini.
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Siku zote nilifahamu Masaburi ni mklio kumbe ni mgombea ubunge (yaani binadamu!?)
 
Unajidanganya sana ubungo na kibamba ccm hawawezi chukua hayo majimbo kabisa mimi naishi huku naona hata kampeni za ccm zinadoda saana.
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Kupata kituko kingine kama hiki andika neno IT MASAKI tuma kwenda namba 15765.
 
Back
Top Bottom