Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Jitahidi umalize yale uliyopanga kupitia uchaguzi huu. Unawakilisha maoni yao na bosi wako lakini unawalisha maneno wakazi wa ubungo
 
Hapa ndipo napokubaliana na LOWASA kuwa kipao mbele... 1. ELIMU 2. ELIMU 3. ELIMU
 
nilishuhudia mkutano wake ubungo terminal, ininasikitisha 50 people walikua wengi nlikua kwenye daladala ila wanahesabika vzuri kachemka mbayaaaaaaa
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

masabuli ndio nini?
 
Badala ya kuwa na mihemko unatakiwa kumsaidia mgombea unayemtaka kutatua changamoto anazokutana nazo.....Tutaishia kutoa povu jingi kwenye mitandao ya kijamii, baadao chali.
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Amechangia kipindupindu. na Uchafu uliokithiri ambao haukuwahi kushuhudiwa DSM, Kazalisah Panya road na watu wengi kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi. Na kwa watumia ARV hawatasahau kiwanda chao kule arusha kilichazalisha dawa feki kwa waathirika.
 
Tembo wanaangamia mkuu, tazara hawajalipwa mishahara

ataongeza matumbo tu hana uwezo wa kufikiri ni bongolala ndio maana akiwa meya atajisifu kwa kusababisha DSM kuwa jiji chafu kuliko duniani, la sita kwa maambukizi ya Ukumwi duniani na kamalizia kwa kipindupindu.
 
I feel so honored to be the first comment. All of my hard
work and dedication has paid off. Getting the top comment
has been a dream of mine for many years, and i would like
to thank those who have helped me along the way. First
and foremost i would like to thank god for giving me this
opportunity. Next i would like to thank my parents. I want
to thank my friend Josh Arcaro, for being really skinny and
always there for me. I would also like to thank my pet
Masala kulangwa for surviving against all odds for over a
week. Next
i would like to thank the squirrel that lives in my backyard
for climbing trees because that gives me inspiration that i
need to get through the day. This is a special moment in
my life and i would like to thank any of my unmentioned
friends and family that have helped me along the way. This
moment will be a moment that i will never forget. I just
remembered a few other people i would like to thank;
Jamiiforum, the fish i caught in the third grade, my light in
my room bc i wouldn’t be able to see the keyboard without
it, the internet for letting me go on jamiiforum, my house
because without it i would be homeless, and last but not
least i would like to thank all the people out there that
actually took time out of their day to read this. I cannot
stress how much of a big deal to me this is. I have been
trying to be the first comment on a post for years, but that
has not been possible until this amazing day. Hopefully my
good luck will continue, but this is undoubtedly a rare
occasion. If you asked me how i did this, i would say, you
can achieve anything u set your mind on. To all the kids
out there reading this, i would like to tell them to follow
their dreams. Being the top comment is amazing, thank
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Labda Ubungo ya huko kwenu Msoga.

Kama ni Ubungo ya hapa Dar, hakuna kitu kama hicho. Hapa ni Kubenea tu.
 
Ama kweli huyo Masaburi anafikiria kwa kutumia masaburi...mm kwa miaka mingi ni mkazi wa Kimara, huyo Masaburi akifanya mkutano wannohudhuria ni wale waliovaa sare za CCM tu, that means ni wale waliopewa nguo na buku5 ili wahudhurie Mkutano

Wiki hii anafanya kampeni kata ya mabibo, anatembelea vikundi vya wajasiriamali na kugawa mshiko, tuliposikia nasi tukaunda kikundi feki wengine wakiwa ukawa, lakin siku ya uchaguzi kila mtu na maamuzi yake
 
Masaburi yupi aliyetukana wakati ule wa sakata la UDA kuwa wabunge wa dsm wafikiri kwa kutumia makalio au mwingine? Kumbe nae anataka....

Tuhuma za kipuuzi zisitunyime mbunge bora wa ubungo
ambae n masaburi (phd)
 
Back
Top Bottom