Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Masaburi hana sifa yoyote ya kuwa kiongozi.Ni hatari anatumua pesa kuwarubuni vijana na kuchafua upinza Na kuambia kama Mungu aishivyo ikiwa tuhuma juu yake ni za kweli mafanikio yake yatakuwa mbali nae kama ilivyo mbali kati ya mashariki na magharibi
 
GAMBA la lumumba hilo limepewa buku saba kuleta uharo humu jamvini.masabuni hakubaliki hata kidogo ubungo ndo maana nikutano yake mingi anafanyia kwenye stand za mabasi ili aonekane kajaza watu.VIVA KUBENEA VIVA LOWASA.
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Hiyo ubungo ipi labda ile ya bagamoyo
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Yaaan ukiitwa daktar tu
Unakuwa na akili za kutosha

pongezi kwa dkt magufuli
Na dkt masabuli
Hakika utumish wenu uliotukuka leo ndio unaofanya nyota zenu zing'are
 
Masaburi hana sifa yoyote ya kuwa kiongozi.Ni hatari anatumua pesa kuwarubuni vijana na kuchafua upinza Na kuambia kama Mungu aishivyo ikiwa tuhuma juu yake ni za kweli mafanikio yake yatakuwa mbali nae kama ilivyo mbali kati ya mashariki na magharibi

Wewe ndio umekosa sifa ya utambuzi
Haluna mwenye akili timamu ambae anaweza kuhoji uchapakazi wa masaburi

Sema watanzania tumekuwa walalamishi hata kwenye vitu vnavyoeonekana kwa macho
Ndo maana vijana wengi mmepoteza uzalendo kwa kulishwa maneno na wanafiki wachache wasiolitakia mema taifa
Eti mwadai hakuna ccm ilichokifanya
Yaaan hata hii amani iliyolindwa na serikali ya ccm hauion ?
 
Hakuna wa kumshinda Masaburi, lile ni jembe yaan jimbo la ubungo limepata m2.Masaburi hapa Kazi Tu
 
wakazi wa ubungo wameamua kumchagua kubenea.masaburi hapati kituu aendelee na fitna zake za kitoto
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.
?? Nitawashangaa watu wa ubungo ikiwa kweli wameyasema haya...
 
Masabuli yupo ok

yaan kwa mshiko hapana chezea huyu jamaa
nipo mabibo mwisho karibu kabisa na ofisi ya ccm yaan utacheka ile mbaya...........ila awe makini kuwa wakati fedha inafeli na hasa ubungo makazi mapya na sio ubungo mzee.
 
Hao wanaompigia debe masaburi hapa sio hata wakazi wa ubungo mnpiga kelele tu sisi hatuongei sana tunamsubiri tu tar 25 tumpoteze kabisa kwenye raman za siasa, huwez peleka dubwana kama masaburi bungen likatetee tumbo lake
 
Hakuna wa kumshinda Masaburi, lile ni jembe yaan jimbo la ubungo limepata m2.Masaburi hapa Kazi Tu
Masaburi huyu alifilisi mradi wa mabasi ya wanafunzi akiwa mwenyekiti wa umoja wa vijana ccm DAR ndiye awe mchapakazi?.Hapo ni akili ya mavi kutumika .MASABURI HAFAI HATA KUONGOZA FAMILIA.Masaburi ni mzigo kuliko hata choo, UBUNNGO MSIJARIBU HATA SEKUNDE.
 
Masaburi ni zaid ya jemedali, kubenea akae chonjo hana chake Ubungo ileeeeeee kw Masaburi
 
Back
Top Bottom