Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

Masaburi awakonga wakazi wa Ubungo

Masabuli ni jembe nalikubali atashinda bila kikwazo
 
Hv kuna ubungo nyingine au ni hii hii ya hapa bongo dar es salaam yaan lait ambavyo mngejua tusivo mpenda huyo baba heeeeh cjui ngoja tuendelee kusubir hiyo tarehe
 
Uliwekaa huu uzi umelipwaa shilingi ngap....ninaishi Ubungo,huu uongo wako kawadanganye watu wa mikoani.....
 
Siwajui wanaogombea ila nikiona vidole viwili ndiyo naweka hapo.
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kumchagua mtu kama Masaburi. Kiongozi liyetayari kuwatukana viongozi wakubwa kama wabunge wa Dar kuwa wanafikiria kupitia makalio kweli huyo awe mwakilishi wa watu.Masaburi aliwahi kupewa mradi wa mabasi ya wanafunzi wakati wa utawala wa Mwinyi aliufilisi ule mradi.amekuwa me ya wa Dar hakuna cha maana alichofanya. Sasa anataka ubunge ili akafanye nini ambacho kimemshinda wakati alipokuwa meya wa jiji la Dar.Huu sasa ni usafi wa madaraka hana nia ya dhati ya kuwakilisha wananchi Masaburi anatafuta ubunge kwa maslahi yake binafsi
 
Ahhaaaaaa huyu anayesema Masaburi ubungo nahisi anajaribu kujifikirisha me ni mkazi halisi wa ubungo Masaburi Hana kitu zaidi ya kununua watu ubungo hela zake tunakula cos kwa Muda wote wa yeye kuwa Meya amekuwa jeraha Kubwa kwetu. Hela tunakula kwake kura hatumpi
 
Hapa kazi tu



Magufuli ndio chaguo la wote

Isipokuwa walevi na wazembe wasiolitakia mema taifa hili


"Akija mtu Jeuri na fedhuli akakuuliza, tanzania mna nini, mjibu kwa uungwana, TUNA AMANI." - Mwl. J. K. Nyerere.

Tanzania ina amani, watanzania wanajua na dunia inajua


* Katika KUIKOMBOA Tanzania tumeshiriki kuikomboa AFRIKA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Kwa amani hii tumejenga reli ya TAZARA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga shule, asilimia 95 wanaenda shule, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumjenga shule kwa kila kata, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumevuta maji kutoka Lake Victoria mpaka Shinyanga, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga LAMI sehemu kubwa ya taifa letu, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga chuo kikubwa sub-saharan africa, UDOM, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tuna uchumi unaokuwa kwa asilimia 7% KUliko nchi nyingi Duniani, watanzania wanajua na dunia inajua

HUU NI USHINDI MKUBWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI!

KINARA NA WAHASISI WA MAENDELEO HAYO NI CHAMA CHA MAPINDUZI

UNAWEZAJE KUDHOOFISHA LEO HISTORIA HII 

UNAWEZAJE KUONDOKA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kwenye historia kubwa namna hii?

Tusiogope ni Historia Nzuri SANA.

Kama viongozi wetu waliopita walivyothubutu na SISI TUTHUBUTU ndio heshima ya CCM.
 
Masaburi amekonga moyo wako Mtoa mada na si wana Ubungo. Kwani amefanya nini Ubungo? Ninachojua Masaburi anauwezo wa kuja kulazimisha kisichowezekana wananchi wa Ubungo simameni imara kumkataa Masaburi maana mtakuwa mmekosea ni heri jimbo libaki bila mwakilishi kuliko kuwakilishwa na Masaburi
 
Wakazi wa jimbo la Ubungo wamempongeza Dr Masabuli kutokana na uchapakazi wake uliotukuka, uzoefu katika shughuli za wananchi, kujituma pamoja na kuwa karibu na wananchi. Wakazi wa Ubungo wamesema mbunge wao kwa sasa ni Masabuli tu.

Umeamua kuandika "Masabuli" badala ya "Masaburi" ili iweje...
 
Magufuli ndio chaguo la wote

Isipokuwa walevi na wazembe wasiolitakia mema taifa hili


"Akija mtu Jeuri na fedhuli akakuuliza, tanzania mna nini, mjibu kwa uungwana, TUNA AMANI." - Mwl. J. K. Nyerere.

Tanzania ina amani, watanzania wanajua na dunia inajua


* Katika KUIKOMBOA Tanzania tumeshiriki kuikomboa AFRIKA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Kwa amani hii tumejenga reli ya TAZARA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga shule, asilimia 95 wanaenda shule, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumjenga shule kwa kila kata, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumevuta maji kutoka Lake Victoria mpaka Shinyanga, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga LAMI sehemu kubwa ya taifa letu, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga chuo kikubwa sub-saharan africa, UDOM, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tuna uchumi unaokuwa kwa asilimia 7% KUliko nchi nyingi Duniani, watanzania wanajua na dunia inajua

HUU NI USHINDI MKUBWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI!

KINARA NA WAHASISI WA MAENDELEO HAYO NI CHAMA CHA MAPINDUZI

UNAWEZAJE KUDHOOFISHA LEO HISTORIA HII 

UNAWEZAJE KUONDOKA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kwenye historia kubwa namna hii?

Tusiogope ni Historia Nzuri SANA.

Kama viongozi wetu waliopita walivyothubutu na SISI TUTHUBUTU ndio heshima ya CCM.
Tembo wanaangamia mkuu, tazara hawajalipwa mishahara
 
Masaburi yupi aliyetukana wakati ule wa sakata la UDA kuwa wabunge wa dsm wafikiri kwa kutumia makalio au mwingine? Kumbe nae anataka....
 
Masaburi ni zaid ya jemedali, kubenea akae chonjo hana chake Ubungo ileeeeeee kw Masaburi

Kwa mara ya mwisho ulienda kupima akili yako lini.au umewahi pelekwa mirembe kwa matibabu.Kama bado mwambie ndugu yako unaemwamini akupeleke mirembe kimya kimya la utaaribikiwa sana.Masaburi hafai hata kuwa mjumbe kama huamini uliza familia yake watakwambia ila usimwambie mtu.
 
Back
Top Bottom