Ni Rahisi kwa Ngamia kupenya tundu la sindano lakini sio Masaburi kushinda Ubunge Ubungo.Masaburi ana hali ngumu mno
Ubungo haiwezi kwenda kwa muuza magazeti
Jimbo jepesi hivyo masabuli ashindwe kushinda c itakuwa maajabu..muuza magazeti chaliNi Rahisi kwa Ngamia kupenya tundu la sindano lakini sio Masaburi kushinda Ubunge Ubungo.Masaburi ana hali ngumu mno
Ww kihiyo kweli ishu ni muuza magazeti au muuza uda wananchi wa ubungo washaamua kalagbaoUbungo haiwezi kwenda kwa muuza magazeti
Masabuli anakubalika na watu kweli kweli aisee