Masaada tafadhali!

Masaada tafadhali!

SALOK

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2011
Posts
3,629
Reaction score
2,310
Salaam wadau, tatizo langu Nokia C2-00 imegoma kuwaka, ukiwasha kunatokea andishi la nokia kisha inaganda na hakuna kinachoendelea, huwezi kuzima mpaka utoe betri, tatizo linawezakuwa nini na ufumbuzi wake ni nini? Natanguliza shukrani!!!
 
Hebu jaribu kuwasha bila memory card na kama imegoma jaribu kuangalia labda ilipata unyevu kwenye charging system au hata maeneo mengine ya ndani if the symptoms persists seek the 'Reflashing your phone'.
 
jaribu washa bila memory card ikigoma katafute tu technician wakuflashie
 
Hebu jaribu kuwasha bila memory card na kama imegoma jaribu kuangalia labda ilipata unyevu kwenye charging system au hata maeneo mengine ya ndani if the symptoms persists seek the 'Reflashing your phone'.

jaribu washa bila memory card ikigoma katafute tu technician wakuflashie

Ahsanteni sana wadau kwa kunishauri nawaombea kwa Mungu awajaalie kila la kheri ktk maisha yenu ya kila siku!
Ni kwamba baada ya kunishauri nilijaribu kufanya kwa mlivyonishauri lakini hakukuwa na mafanikio, hivyo nilimpatia ndugu yangu fulani ambae ni fundi simu akaiosha kwa benzin kuondoa hitilafu ambazo huenda zilisababishwa na unyevu nyevu ambao ulipenya na kuingia ndani ua simu pasi mie kujua lakini pia hakukua na mafanikio kwani nyimbo zilikuwa zile zile nikaona bora nijipange ili nikaiflash kwa masiku mengine yajayo!
Baada ya muda fulani nilijaribu kuiwasha tena lakin tatizo liliendelea ila sasa kwa sababu ya kushughuliswa na jambo fulani sikuitoa betri hivyo baada ya kama dakika 50 hivi simu ikawaka na baada ya hapo mpaka sasa inafanyakazi kama kawaida ila katika folder la themes kuna theme moja ile icon yake ina umbo la kama kichwa cha samaki na muingiliano wa rangi nyingi nyingi na katikati ya screen kuna alama ya '?'. Ukifuta haifutiki, nimejaribu kurestore simu hiyo kitu bado ipo!

Je, hii virus nikienda kuflash simu itatoka? Ahsanteni tena!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom