Stuxnet JF-Expert Member Feb 12, 2011 10,832 18,593 Dec 13, 2023 #1 Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
J johnthebaptist JF-Expert Member May 27, 2014 86,428 147,124 Dec 13, 2023 #2 Huku Boko tangu juzi mabomba yanatoa Maji ya tope
Simbamteme JF-Expert Member Sep 10, 2011 787 2,077 Dec 13, 2023 #3 Imenubd nije zangu sinza kuchill tu...walirudsha sa 9 ucku ukakaa kdg wakakata
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Sep 4, 2018 7,015 12,032 Dec 13, 2023 #4 Stuxnet said: Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp! Click to expand... Njooni huku rusumo tunatumia umeme wa jirani
Stuxnet said: Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp! Click to expand... Njooni huku rusumo tunatumia umeme wa jirani
Huihui2 JF-Expert Member Jan 5, 2012 5,528 8,376 Dec 13, 2023 #5 Mpaka sasa hivi bado umeme ni kitendawili maeneo haya. TANESCO toeni kauli
Snowpiercer JF-Expert Member Sep 15, 2014 2,327 4,116 Dec 13, 2023 #6 Mpaka utajuta kuwa raia wa nchi hiyo.