Marytina is dead......REACTIONS TO PRE-DEATH from MMU

Marytina wewe nani atatutangazia kifo chako?
Mungu akupe maisha marefu uwaone watoto wa wajukuu zako.
 
@arusha,baba mngoni,mama mchagga.

Ipo siku ntakufa ila kwa sasa nataka kujua JF itareact kivipi pindi mkiconfirm am dead.( reactions to PRE-DEATH)

Please note:nipo hai, buheri wa afya, sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji wetu,nakatiza chochoro kwa chochoro hapa AR bila bughudha.

nitakumbuka mavitu yako kunako uwanja wa nou camp,siku ile nilipokutoa shivas!maana nilipagawa!
 
YOUR life must be one hell of a black hole,you are stressed to the helm,that u seek consolation in JF,CREATURES,of your nature usually end up hanging themselves.SEEK help before its too late
 
Nilipoona title nilishtuka sana, lakini nilipoona umeandika mwenyewe nikasema:
Mungu akupe umri mrefu, afya, amani na furaha.
LIVE LONG TINA!
 
sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji
unaona umepaaata wachungaji wenyewe feki sembuse rafiki wa mchungaji?

Smile, hao wachungaji wakiwa feki waumini sasa si itakuwa kizaazaa?!
 
DEAR!!!
ukitaka usiumizwe kwenye mapenzi go for sub-standard i.e wewe shule ya kuungaunga unamchukua lecturer handsome tena kwao kuna hela za urithi unategemea nini???
mtaachika mpaka mkomee
This thought of yours is basing on what theory Marytina?
 
@arusha,baba mngoni,mama mchagga.

Ipo siku ntakufa ila kwa sasa nataka kujua JF itareact kivipi pindi mkiconfirm am dead.( reactions to PRE-DEATH)

Please note:nipo hai, buheri wa afya, sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji wetu,nakatiza chochoro kwa chochoro hapa AR bila bughudha.

kabla hujafa kwanza tuambie ,umejiandaandaje?,maana huko mmmhh
 
kuna mtu mmoja huko kwetu naye alikuwa na mauzauza kama ya kwako,
akaamua kujitengenezea sanduku la kumzikia ili watoto wake wasipate tabu siku akitwaliwa,
alidumu na sanduku lake kwa miaka mingi, ndipo akatwaliwa, la kushangaza lile sanduku likafanywa kuni,
wakamtengenezea sanduku lingine, but kwako R.I.P. shada la maua nitakuwekea siku ikifika.
 
@arusha,baba mngoni,mama mchagga.

Ipo siku ntakufa ila kwa sasa nataka kujua JF itareact kivipi pindi mkiconfirm am dead.( reactions to PRE-DEATH)

Please note:nipo hai, buheri wa afya, sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji wetu,nakatiza chochoro kwa chochoro hapa AR bila bughudha.
helo marytina!Hujambo? Si vizuri kuandika mambo ya kifo ilhali Bwana kakujalia uhai kama usemavyo.
Vipi maisha AR? Hebu niambie.Jamaa wa ubelgiji kesharudi au bado? Msalimie sana.
 
Back
Top Bottom