Marytina is dead......REACTIONS TO PRE-DEATH from MMU

@arusha,baba mngoni,mama mchagga.

Ipo siku ntakufa ila kwa sasa nataka kujua JF itareact kivipi pindi mkiconfirm am dead.( reactions to PRE-DEATH)

Please note:nipo hai, buheri wa afya, sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji wetu,nakatiza chochoro kwa chochoro hapa AR bila bughudha.

Natanguliza R.I.P.
 
IF YOU CAN'T CONVINCE THEM CONFUSE THEM
(source Rejao).
Merytina,i have a feeling you are trying to convince us kwamba somewhere ndani ya bongo yako kuna nati imelegea,HATUDANGANYIKI,we ni mzima na una akili timamu kabisaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kichaa wewe...nilishasema balaa gani hili JF kufiwa na madada zetu nguli kabisa..Chetuntu, Regia, mara hii tena Marytina!
 
Mie nitasema "At last they are together........................ LEGS".
 
@arusha,baba mngoni,mama mchagga.

Ipo siku ntakufa ila kwa sasa nataka kujua JF itareact kivipi pindi mkiconfirm am dead.( reactions to PRE-DEATH)

Please note:nipo hai, buheri wa afya, sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji wetu,nakatiza chochoro kwa chochoro hapa AR bila bughudha.

tuna post RIP kibao na kuwapa pole wafiwa huku tunakula NYAGI na FEGI kimtindo, na akipita dem mbele tunaenda kupiga ngozi kama kawa, yaani life itakuwa iko kamili gado kama kawa.
 
DEAR!!!
ukitaka usiumizwe kwenye mapenzi go for sub-standard i.e wewe shule ya kuungaunga unamchukua lecturer handsome tena kwao kuna hela za urithi unategemea nini???
mtaachika mpaka mkomee

inferiority complex hiyo!
mbona ndoa za namna hiyo ziko nyingi tu na watu wanapeta?
Acha izo!
 
Back
Top Bottom