Marytina is dead......REACTIONS TO PRE-DEATH from MMU

Marytina

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
9,738
Reaction score
8,016
@arusha,baba mngoni,mama mchagga.

Ipo siku ntakufa ila kwa sasa nataka kujua JF itareact kivipi pindi mkiconfirm am dead.( reactions to PRE-DEATH)

Please note:nipo hai, buheri wa afya, sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji wetu,nakatiza chochoro kwa chochoro hapa AR bila bughudha.
 
Attachments

  • martina.jpg
    martina.jpg
    4.9 KB · Views: 597
Ukifa poa tu....maisha yataendelea kama kawaida!!
 
@arusha,baba mngoni,mama mchagga.

Ipo siku ntakufa ila kwa sasa nataka kujua JF itareact kivipi pindi mkiconfirm am dead.( reactions to PRE-DEATH)

attachment.php

Please note:nipo hai, buheri wa afya, sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji wetu,nakatiza chochoro kwa chochoro hapa AR bila bughudha.

wanawake watalia,
wanaume tutazika, AND LIFE GOEZ ON!
 
sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji
unaona umepaaata wachungaji wenyewe feki sembuse rafiki wa mchungaji?
 
@arusha,baba mngoni,mama mchagga.

Ipo siku ntakufa ila kwa sasa nataka kujua JF itareact kivipi pindi mkiconfirm am dead.( reactions to PRE-DEATH)

Please note:nipo hai, buheri wa afya, sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji wetu,nakatiza chochoro kwa chochoro hapa AR bila bughudha.

If you can't convince them, confuse them.
 
sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji
unaona umepaaata wachungaji wenyewe feki sembuse rafiki wa mchungaji?
DEAR!!!
ukitaka usiumizwe kwenye mapenzi go for sub-standard i.e wewe shule ya kuungaunga unamchukua lecturer handsome tena kwao kuna hela za urithi unategemea nini???
mtaachika mpaka mkomee
 
sasa huyo wako sub standard zipo wapi hapo? kuimba kwaya sauti ya kwanza au kuwa rafiki ya mchungaji? kwani kuna mwanaume adui wa mchungaji au padre?
 
i will remember you ......do you remember me......
 
sasa huyo wako sub standard zipo wapi hapo? kuimba kwaya sauti ya kwanza au kuwa rafiki ya mchungaji? kwani kuna mwanaume adui wa mchungaji au padre?
usichukue wa daraja la kwanza sub category A,CHUKUA WA DARAJA LA KWANZA SUB CATEGORY B
 
@arusha,baba mngoni,mama mchagga.

Ipo siku ntakufa ila kwa sasa nataka kujua jf itareact kivipi pindi mkiconfirm am dead.( reactions to pre-death)

please note:nipo hai, buheri wa afya, sina panics za love as nilimchagua sub-standard,mwana kwaya, mlutheran, rafiki wa karibu wa mchungaji wetu,nakatiza chochoro kwa chochoro hapa ar bila bughudha.

mwaka huu lazima ufe,una mbeep israel? Shauri yako.
 
Wana JF Arusha leo tutakuwa na kikao kwaajili ya kumsindikiza ndugu yetu na Dada yetu mpendwa Marytina aliyefariki ghafla jana usiku.Kikao kitaanza saa 12 jioni Soweto Garden kila mwaJF Arusha afike na mchango usiopungua 20,000/= au zaidi.Kamati ya maandalizi inatarajia kutengeneza Tshirt zenye ujumbe mahsusi,kila mwanaJF atapewa nafasi ya kupendekeza nini kiandikwe katika tshirt.

WanaJF waishio mbali na mji wa Arusha michango yao waitume kwa mwenyekiti na mweka hazina wa kamati ya maandalizi Mheshimiwa Ngongo namba ya simu 0755 000001.

RIP Marytina tulikupenda sana lakini Mungu alikupenda zaidi.
 
...mbombo ngafu..!

anyways...already seen
 
Back
Top Bottom