Mary Nagu kafiwa na Baba yake

Mary Nagu kafiwa na Baba yake

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
652
Reaction score
607
Mh. Mary Nagu jana aliondokewa na baba yake mzazi hivyo naomba tuchukue nafasi hii kumpa pole sana.
Wakati wa msiba ni kuomboleza hebu tuachane na tofauti za kisiasa haswa matamshi ya kule Arumeru.
 
Another opportunity kwa wazee wa misiba...
 
Wasubili JK arudi ndo wazike!
Pole Nagu ingawa kauli yako ya Arumeru ulinichefua sana!
 
pumzika mzee wangu...ulihangaika sana kupambana na maradhi nakumbuka nikija pale home kwa mama Nagu huku AAR tunapiga story...Pole referee wangu Mama Nagu....
 
naona baba Mwanaasha atakuwa anaandaa ile peni yake spesho kwa kusaini kitabu cha maombolezo!
 
Mama pole saana mpe na Felista pole zetu. R.I.P babu
 
Mungu amewahi sana jamani angemchukua mery kwanza na mdomo wake mchafu
 
Back
Top Bottom