Ina kazi yake hiyo! hebu fikiria inakula ndizi mbivu lol
Ana midomo mizuri!
Rev. kwa ana midomo mingi? miye nimeuona moja tu.
anaonekana mshambaaaaaaaaaaaa
Ana midomo mizuri!
ni nani huyu?? :twitch::twitch:
Kwa kula denda imetulia kwelikweli!mchungaji wewe haikufai tuachie sisi kondoo wako!!Ana midomo mizuri!
Watu hawaangalii upstairs,kinachoangaliwa ni mashine tu,kama ni nzuri hata uraisi atapewa tu na kikundi cha wakwale!!Inategemea upstairs yuko vipi, kama mweupe hana lolote hata kama angekuwa mzuri kama malaika.