Black manta
Member
- Aug 10, 2025
- 98
- 134
Kuna ile neck lace anayovaa inaitwa eye of agamotto ,sasa kutokana na yeye kuitumia mara kwa mara inasababisha third eye pia ni ishara kuwa amereach high level of power and knowledge in magicsShukrani n doctor strng mwsh anaonekana kwny paji la uso jicho la tatu lina maanisha nn
Itakuwa kaitoa kwa vision inaitwa phasing ,process of reducing mass and density of body so as to penetratethrough solid objectsNa ile power ya sijui teleportation au invisibility kaitoa wapi kwa nani
Aliitoa kwa Ghost wa Antiman/The ThunderboltsItakuwa kaitoa kwa vision inaitwa phasing ,process of reducing mass and density of body so as to penetratethrough solid objects
Sema Supergirl trailer la kawaida Sana halina hype kabisa2026🔥🔥🔥
Invincible – Season 4 – March 2026
The Boys – Season 5– April 8
Supergirl: Woman of Tomorrow – June 26
Spider‑Man: Brand New Day – July 31
Lanterns – mid‑2026
Clayface– Sept 11
Avengers: Doomsday – Dec 18
Angalia guardian of galaxy trilogy halafu angalia supergirl trailer ,utagundua supergirl ina vibe la gog trilogy hapa ndo anaiharibu dc anaiweka kimcu sana ,sema naona jason momoa ali born kuwa lobo amefit character 100% ndie anaefanya supergirl niisubiri kwa hamuSema Supergirl trailer la kawaida Sana halina hype kabisa
Kuna crystals of cynddriall,fumes of nani sijuiAll spells zilizotumiwa na dr strange mcu
Eidritch constructs,kutokana na nature ya magic hii eidritch magic inawawezesha akina dr strange kuunda zana yoyote ile wapendavyo iwapo watafocus kuunda chochote watakacho...
Realms manipulations,especially mirror dimension ni eneo ambalo ni domin ated na dr strang na wengine ni eneo linalowapa mwanya wa kucontain threats za enemies wao bila kuleta madhara in real wolrd ,pia ili kuingia na kutoka ndani unahitaji sling ring,pia yote yafanyikayo humu ndani hayahadhiri real wolrd
Flight and levitation ,kwa kuitumia ile cape iitwayo cloak of LEVITATION (levitation means kueleaelea angani) inamuwezesha kufanya both at once
Astral projection,hii ni hali ya kuitoa nafsi yako nje ya mwili wako ambapo dr strange ilikuwa ikimruhusu sehemu ya mwili wake kuwa inactive na spiritual part inakuwa active ,nguvu itumikayo kuingia ktk hii form ni astral force na kitendo cha kuwa ktk hii form ni astral project
Wind of watoomb,huu ni upepo aliotumia kuzima engine ya black order walipovamia new york city kutake time stone pia in end game aliutumia kucontrol floods in battle field kwa kufanya Hydrokinesis...
Image of ikkon,ikkon ni pepo ambalo strange anatumia moja ya power zake ili kucreate hudreds copies of himself to confuse thanos...
Crimson bands of cytorrack,hizi ni kama ropes zenye rang ya crimson ambazo ni za pepo la kuzimu aitway cytorrack hizi alitumia kumfunga thanos mkono wenye mawe ili hasiutumie kwao na hii ilimdhibiti vizur..
Shield of seraphim,hiz ni ngao za duara ambazo zinatumika na dr strang kujilinda na attack zinazokavaa large area mfano wa kati wa black order attack new york wong alisummon hii shield dhid ya miti ilyorushwa na ebony maw pia dr strange wakati wanaingia titan ili kuzuia impact itokanayo landing of q ship alisummon hizi ili watue salama..
Icy tendrils of ikthalon,hizi alitumi a in endgame ni tendrils zenye barafu ambaz alizitumia kuwavuta baadhi ya outrider below the ground na kuwafreeze
Note,hizi spell huwa wanazisoma kupitia vitabuthen wanazipractice mostly ni za mademons ,gods ,angels,elders,ancient witches...
Rings of raggador,hiz alitumia ktk mom kumsaidia chavez dhidi yawanda
Boltz of bakthaak,hizi alizitumia kumuattack thanos randomly ilikumconfuse but it doesnt work ni kama radi zenye fire...infinity war
Taos mandalas shields,hizi hawa akina strange huwa wanatumia mara kwa mara either ku make stance au defence au attack...
Hands of hoogoth,hoggoth nilimzungumza hapo nyuma hii ni mikono ambayo dr strang aliitumia kuchoma jicho la gargantos kiumbe aliyekuwa possessed na wanda..
Sword of vishanti ,watch infinity war hili panga strange alilicreate kwa kuconjure magic kuwa hili panga..
Dr strange ana super power nyingi sana but now is time to sleep next time....
Mashabiki wa dc naona wamemaindi sana trailer ya lantern kwa sababu ya suti ya hal jordan ni ya brown na si green na wameanza kuipenda lantern ya ryan reynod ambayo walikuwa wanaichukia mwanzoni kwa sabab ya cgi mbovu ,yaani ukiiangalia suti yake kama skin tight ambayo haija mvaa mwili yaan inafloat kweny ngozi hivi ,halafu ni cgi tu 100% cgi yenyewe ni mbovu 100% saivi wameanza kuipenda wakati walikuwa wakiichukia ,sasa hii mpya ni ya kawaida lakini gunn ametumia hii suti kama inspiration kutoka kweny comic book ya lantern watokao earth 1 kweny multiverse,pia kwenye trela wamemtaja green lantern chipmunk or squirrel(nguchiro) kama uliicheki superman 2025 kuna wakati alipokuwa akipambana na kaiju pale metropolis kuna nguchiro alimsaaidia yule nae atakuwa green lantern corp kwenye hii series,ninacho furahi wanaenda kuwatambulisha black lantern na yellow lantern kama villainsKuna crystals of cynddriall,fumes of nani sijui
Hao wanaoponda rangi ya suti hawajui kitu, hivi vitu hubadilishwa kwenye post production. Mbona suti ya Gardner ilikuwa nzuri?Mashabiki wa dc naona wamemaindi sana trailer ya lantern kwa sababu ya suti ya hal jordan ni ya brown na si green na wameanza kuipenda lantern ya ryan reynod ambayo walikuwa wanaichukia mwanzoni kwa sabab ya cgi mbovu ,yaani ukiiangalia suti yake kama skin tight ambayo haija mvaa mwili yaan inafloat kweny ngozi hivi ,halafu ni cgi tu 100% cgi yenyewe ni mbovu 100% saivi wameanza kuipenda wakati walikuwa wakiichukia ,sasa hii mpya ni ya kawaida lakini gunn ametumia hii suti kama inspiration kutoka kweny comic book ya lantern watokao earth 1 kweny multiverse,pia kwenye trela wamemtaja green lantern chipmunk or squirrel(nguchiro) kama uliicheki superman 2025 kuna wakati alipokuwa akipambana na kaiju pale metropolis kuna nguchiro alimsaaidia yule nae atakuwa green lantern corp kwenye hii series,ninacho furahi wanaenda kuwatambulisha black lantern na yellow lantern kama villains
Hii nilikuwa na wasiwasi nayo toka mda lantern kuwa show walizingua haitapata Ile budget stahikiMashabiki wa dc naona wamemaindi sana trailer ya lantern kwa sababu ya suti ya hal jordan ni ya brown na si green na wameanza kuipenda lantern ya ryan reynod ambayo walikuwa wanaichukia mwanzoni kwa sabab ya cgi mbovu ,yaani ukiiangalia suti yake kama skin tight ambayo haija mvaa mwili yaan inafloat kweny ngozi hivi ,halafu ni cgi tu 100% cgi yenyewe ni mbovu 100% saivi wameanza kuipenda wakati walikuwa wakiichukia ,sasa hii mpya ni ya kawaida lakini gunn ametumia hii suti kama inspiration kutoka kweny comic book ya lantern watokao earth 1 kweny multiverse,pia kwenye trela wamemtaja green lantern chipmunk or squirrel(nguchiro) kama uliicheki superman 2025 kuna wakati alipokuwa akipambana na kaiju pale metropolis kuna nguchiro alimsaaidia yule nae atakuwa green lantern corp kwenye hii series,ninacho furahi wanaenda kuwatambulisha black lantern na yellow lantern kama villains
Tuwe wa kweli lantern ingekuwa movie afu Supergirl ingesubiri kidogo ni mapema Sana kwa DC kuanza kutengeneza series huku marvel Wana regret uo uamuzi.Hao wanaoponda rangi ya suti hawajui kitu, hivi vitu hubadilishwa kwenye post production. Mbona suti ya Gardner ilikuwa nzuri?
Kinachosumbua ni kwamba inaonekana karibia show nzima hawatotumia nguvu zao, hii itakuwa ni detective show.
Mimi namuaminia sana Gunn, tokea nione creature commandos ninakubali sana muelekeo wa Gunn.
Wameanza na supergirl ili kutengenez continuity kweny superman part 2, maan trailer limeonesha krypton ikiharibiwa na supergirl ndie shuhuda wa mwisho na msababishaji nk brainiac nahisi ambae anakuja kuwa villain ktk superman 2Tuwe wa kweli lantern ingekuwa movie afu Supergirl ingesubiri kidogo ni mapema Sana kwa DC kuanza kutengeneza series huku marvel Wana regret uo uamuzi.
Creature commandos umeiangalia? Peacemaker je? Zote ni series hizo. Nzuri sana, halafu Gunn hazirefushi sana. Lantern atatokea kwenye Man of Tommorrow.Tuwe wa kweli lantern ingekuwa movie afu Supergirl ingesubiri kidogo ni mapema Sana kwa DC kuanza kutengeneza series huku marvel Wana regret uo uamuzi.
Creature bado ,peacemaker tayr 1-2Creature commandos umeiangalia? Peacemaker je? Zote ni series hizo. Nzuri sana, halafu Gunn hazirefushi sana. Lantern atatokea kwenye Man of Tommorrow.