omega effect
Member
- Apr 3, 2025
- 93
- 83
Robert Downey kasema Thanos atakua chini yakeKwenye Avengers doomsday hakutajwa kama atakuwepo labda aje kama suprise
Robert Downey kasema Thanos atakua chini yakeKwenye Avengers doomsday hakutajwa kama atakuwepo labda aje kama suprise
Sidhani kama kuna villain kwenye MCU atakuja kumzidi ThanosRobert Downey kasema Thanos atakua chini yake
Kang anamzidi feige alisema Kang ni most dangerous than Thanos sema wamemcancelSidhani kama kuna villain kwenye MCU atakuja kumzidi Thanos
kisa yule mchizi wange mreplace na mtu mwingine tuKang anamzidi feige alisema Kang ni most dangerous than Thanos sema wamemcancel
Performance yake ilikuwa ni kubwa alifiti kama Kang hakuna wa kuziba pengo ndo maana wamemleta Dr doomkisa yule mchizi wange mreplace na mtu mwingine tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
kutokana na kesi aliyokuwa nayo wanahofia huenda wasipate wateja kama wakimuweka kwenye moviePerformance yake ilikuwa ni kubwa alifiti kama Kang hakuna wa kuziba pengo ndo maana wamemleta Dr doom
Lakini ngoja tumuone Tony stark atakavyoact kama villain maana trela ya fantastic four nayo iko moto ila thunder bolt sijaipendakutokana na kesi aliyokuwa nayo wanahofia huenda wasipate wateja kama wakimuweka kwenye movie
😅😅😅 me nahisi itakuwa nzurithunder bolt sijaipenda
😅😅😅 me nahisi itakuwa nzur
Namsubiri nimuone sentry kwenye trela anatisha na silver surfer😅😅😅 me nahisi itakuwa nzuri
Kumbe kwenye Deadpool 3 ant man alikuwepo ila ni giant aliyekufa alitumika kama makazi ya Cassandra novaSo, Henry Cavill atapata role pale MCU . Amepewa comeo ndogo kwenye Deadpool. Sasa, tusubiri tuone watampa character gani kwa ajili yake.View attachment 3056610View attachment 3056611
Idea Kali ila action na villain wapo kizembe
Vitoto halafu villain mzembe hatariMadam web 2024
View attachment 2814706
walikurupuka kuitoa wakiangalia upepo wa agenda za feminist na girl power badala ya kufocus na build up nzuri ya story, angalia hata The marvels na Wakanda forever zote zime flop kwa kuwa wamefocus na feminist agenda wala sio story, sababu kuna movie nyingine lead role ni mwanamke ila zina focus kwenye story na zikafanya vizuri kama Wanda Vision, Captain Marvel, Ms MarvelVitoto halafu villain mzembe hatari
"DCEU Movies and Series Ranked: DC Movies and Shows By Tomatometer | Rotten Tomatoes" DCEU Movies and Series Ranked: DC Movies and Shows By Tomatometeq1
Kweli kabisawalikurupuka kuitoa wakiangalia upepo wa agenda za feminist na girl power badala ya kufocus na build up nzuri ya story, angalia hata The marvels na Wakanda forever zote zime flop kwa kuwa wamefocus na feminist agenda wala sio story, sababu kuna movie nyingine lead role ni mwanamke ila zina focus kwenye story na zikafanya vizuri kama Wanda Vision, Captain Marvel, Ms Marvel
ImpossibleNasikia Tom cruise ndo anakuja kuwa New Iron Man View attachment 2093840
Hapa strange alifanya kosa kubwa fatal mistake ku dream walk in dead bodyDaah zombie strange hawa jamaa wameamuaView attachment 2119814
Kwa upande wa story ni mediocre ila action zimetuliaNimedownload tayrView attachment 2147985
wakanda haija flop mzee 800$M huku ikiwa imepoteza lead actor wakeKweli kabisa
Imeshuka Ina 88 percent tomatometer Ile ya kwanza Ina 96 percent ilipita endgame na ili gross 1 billion usdwakanda haija flop mzee 800$M huku ikiwa imepoteza lead actor wake
Performance yake ilikuwa ni kubwa alifiti kama Kang hakuna wa kuziba pengo ndo maana wamemleta Dr doom