Marufuku kumwangalia mwanamke kwa sekunde 14

Marufuku kumwangalia mwanamke kwa sekunde 14

Weka picha
PhotoGrid_1437919785124.jpg

Huko lock up hamtakua wanaume tupu, hata wanawake tutakuwepo kwa kosa la kusuuza macho
 
Macho yameumbwa kwa SABABU ipi Kama kutzama bado nadhibitiwa hapo patawaka moto
 
Na wanaume wakihindi wanavyopenda hayo mambo hahaha...

Ukipata rafiki wa kihindi fb lazima akutumie mipicha ya ngono na upuuzi mwingi. Kila saa ni call tu
 
Ikija huku hyo mimi ni mtuhumiwa sugu,hasa kwa wale waliojaaaliwa kua na difu hua siwezi kuwapita eti nikayakosea macho yangu kutoyapa chakula
 
Back
Top Bottom