Marudio ya Bongo Star search ITV

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
sasa hivi wanaonyesha marudio ya bongo starsearch itv.over
 
Katika vitu vyote kilichonichefua, ni Msechu kuvaa ushuzi, otherwise shoo ilikuwa bomba.
 
Kiukweli shoo ilikuwa poa vijana waliimba km mshindi alistahili kbs,bela km kawa aliboa na wale watu wake sijui kawapata wapi?msechu naye kashalewa misifa mda wote wa perfomance yake kaonyesha chupi!
 
madam ritha hakupependa yule dada aliyeingia na jibaba kumsaidia kuimba.mwenyewe kajitahidi kukata maono lakini mwisho wa siku anambulia aibu.
 
Msechu ndio anasababisha muziki uonekane uhuni..utavaaje vile huku wadogo zako and wazazi wanaangalia..stupid!!
 
Huyu dogo Msechu hana adabu kbs watabaki kulalamika tu wanaibiwa kazi zao while wenyewe hata adabu hawana pumbafu kabisa!!!!!!
 
Kiukweli shoo ilikuwa poa vijana waliimba km mshindi alistahili kbs,bela km kawa aliboa na wale watu wake sijui kawapata wapi?msechu naye kashalewa misifa mda wote wa perfomance yake kaonyesha chupi!

Msechu..xcul mate huko tabora miaka kadhaa nyuma..handle umaarufu wit great care comrade.
 
Huyu dogo Msechu hana adabu kbs watabaki kulalamika tu wanaibiwa kazi zao while wenyewe hata adabu hawana pumbafu kabisa!!!!!!

anawatukanisha watu wa mikoani!awaangalie watoto wa donta wanavyobehave hata wakipata umaarufu!
 
Kwanza BSS ilishanikera tangu walipomchakachua Mzungu!
Pili, hiyo show ilinikera kutokana na vitu kadhaa, kwa mfano kitendoa cha MJ kuwazomea wageni a.k.a mashabiki, msechu kuvaa kata K yaan alikuwa anafanya kazi ya kuvuta ile pedo yake tu! Na hili la yule bella kombo kuimba wimbo wa bob junior yaan hapo nilipata tafsiri kibao ukizingatia bob j alikuwapo ktk show hiyo!
 
Afadhali wenzangu kumbe hata nyie mliona. Nilipomuona tu niliacha kumalizia the kuwatch hadi mwisho wa shoo. Peter MSECHU alinichefua kikwelii. Au ndio kujifanya ameshatoka sasa ana fanana na 50 Cent wa USA? MSECHU kwa staili hiyo mwanangu unapoteza washabiki na umaarufu wako utakufa sasa hivi. kama uliona Kuvaa Sagging PEDO ndio kutoka hakika unajidanganya. Watu wenye heshima zetu tuliondoka kwenye Tv baada ya wewe kutaka kuangusha PEDO yako na wimbo wako wa RELAX ambao hata watu walikuwa hawaRespond kwa kuwachefua na kuwaonyesha Boxaa la VIP!
 
MSECHUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU na VIP boxaaaaaaaaaaaaaaa hadharani
LT+zU0AAAAASUVORK5CYII=
 
Back
Top Bottom