Davey 2017
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 109
- 133
Sikia hii theory na hebu mniambie wanandoa walioko JF inakwelii!!
Ukikutana na Binti mpya, binti ambaye umempenda na ukawa na malengo ya kumuoa, nenda kanunue kilo moja ya maharage na jagi la plastiki lenye mfuniko, kila mkifanya ngono weka kaharage kamoja kwenye lile jagi, endelea kuweka maharage moja moja hadi mtakapofunga ndoa.
Mkishafunga ndoa, baada ya honeymoon sasa anza kuondoa harage moja moja kwenye lile jagi, endelea kuondoa maharage moja moja kila mkifanya ngono ndani ya ndoa.
Hutakaa umalize yale maharage ndani ya jagi baada ya ndoa....Kamwe!