Marriage (What it is and why we do it)

Anataka kutupiga changa yule ili tuingize matatizo ndani. Wengi wamemsanukia anatupiga kabobo..Ndoa ni ngumu usawa huu, ukiwaza ukata, usaliti, ubinafsi, kununiwa, kelele dah. Inahitaji moyo wa chuma
 
Mmmh nyie hata mbaki wawili ndani ya nyumba na mwenzio anaumwa, still utaambiwa "jikaze tu", ilhali mume ni mzima wa afya na yupo tu. Huko kumdekeza mwenzio si ndo mnaita ufilipino?
Aah heaven, ina maana hata mkiwa wawili bado anakukazia tu? Kuna ME wana roho za spana...Mi ukiumwa nakusaidia kiroho safi. Its the only moment you can dog me the way you like.
 
Aah heaven, ina maana hata mkiwa wawili bado anakukazia tu? Kuna ME wana roho za spana...Mi ukiumwa nakusaidia kiroho safi. Its the only moment you can dog me the way you like.
Teh mbona ntaumwa kila siku
 
Kubebisha inahitaji masaa mangapi?
Mbona Michepuko tunaibebisha? Tujenge ndoa tuache bla bla
Kidogo tu ila mostly stress ndio zinatufanya tusiwabebishe na uchovu wa shughuli. Ila naamini kama ukijitoa na kusema "baba J naomba nikusaidie kupunguza bills hizi na zile walau tuweze kupata time ya kuinjoy wote pamoja muda mwingi" sidhani kama kuna kidume atachomoa hapo!
 
Umeshaweka akilini kuwa wanawake wote viburi. Hayo maperuvian kama huyapendi kwanini umchukue mwanamke wa hivyo? Duniani kuna wanawake wa aina mbali.mbali. nenda kwa yule unayeona anafaa. Mbona wapo !!! Usigeneralize vitu...watu hawafanani
Aisee na wewe usigeneralize wanaume wote wabaya
 
Mke akinuna unafanya marekebisho kuondoa huo mnuno, sio akinuna nawe unanuna, unaenda kucheka na washkaji bar hao sio wake zako
Kazi Sna,hi Tabia Yawanawake Kununanuna Inanikera Sna Tna Sna Kila Jambo Kununa Tu,sometime Huwa Nafikia Ukomo Wakufikiri Wakusema Hakuna Maana Yakuoa Nibora Kuwapeke Yako,kuliko Mauzi Ya Wanawake
 
Haha nyie fantasy za "harusi" ni tamuuuu. Baada ya muda jini mkata kamba huyooooooo
 
Kazi Sna,hi Tabia Yawanawake Kununanuna Inanikera Sna Tna Sna Kila Jambo Kununa Tu,sometime Huwa Nafikia Ukomo Wakufikiri Wakusema Hakuna Maana Yakuoa Nibora Kuwapeke Yako,kuliko Mauzi Ya Wanawake
Wazoee hao...mi nakula tizi lakununiwa ili nikioa niwe nishakula black belt.
 

Na kwa nini tuassume kuwa anaongea tu kwa kuwa ni kazi yake? Hakunaga ndoa nzuri? Afu sidhani kama ashawahi kusema ndoa yake ni salama, anasemaga tu hata wao wana changamoto. Of coz ina changamoto zake kama ambavyo mahusiano yoyote yalivyo, but hiyo haifuti mazuri mengi ya ndoa yake na ameamua kustick na hiyo +ve side zaidi, tatizo ni nini? Afu sometimes mtu anaweza akakushauri kitu not because ndoa yake ni perfect, ila maybe anapitia/amepitia or ameona mwingine alivyosolve changamoto fulani. Huyo rafiki ako hata kama ana changamoto, just sikiliza ushauri wake kama unakufaa. Mfano Ameshauri kusali kwa pamoja, je ni kitu kibaya wanandoa kusali kwa pamoja? Hata kama yeye hafanyi as long as ni kitu chenye faida kwako, kwa nini usikifanye kama inawezekana?. Tatizo ni kwamba tunatamani tusikiage tu mabaya ya ndoa za watu, maybe inatufariji kuwa sio peke yetu "tunaodumu". Maana mtu akiisifia tu ndoa yake, lazima tuone anapretend, mmh unaweza tu kuhisi ndoa nyingi ni za aina gani kama haziamini kuna ndoa nzuri.
 
Nimekuelewa, but help me out with something. Please
Kwa namna gani tushirikiane kuzipa uhai? I mean, umejiuliza kwanza why ndoa needs maintenance, in the first place? Why cant it just be smooth? There must be something we are doing wrong. Trust me, the things people going through kwenye marriage ni so devastating kiasi kwamba kunaathiri the rest of the parts of life.
So please, enlighten me, kama mtoa mada; what is it? Why is it important? And why should we keep fighting for that.
 
Kazi Sna,hi Tabia Yawanawake Kununanuna Inanikera Sna Tna Sna Kila Jambo Kununa Tu,sometime Huwa Nafikia Ukomo Wakufikiri Wakusema Hakuna Maana Yakuoa Nibora Kuwapeke Yako,kuliko Mauzi Ya Wanawake
Hata wanaume wananuna mbona teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…