Marriage is scam

Marriage is scam

Nashangaa sana mwanaume kulalamika swala la ndoa mamlaka tulipewa sisi wanaume kushindwa kuyatumia ni udhaifu binafsi na ni ajabu sana mwanaume kuwa muoga kwenye mambo ambayo Mungu mwenyewe katupa mamlaka ya kuyaongoza
Hayo mamlaka ni illusion tu mzee baba. Ila kiuhalisia ndoa inampa advantage mwanamke.
 
Si kweli kwa haya uliyoandika. Tuache kuiga na kufata mikumbo ya watu waliojikatia tamaa juu ya mahusiano(ndoa)zao. Upepo mbaya wa kataa ndoa umewajaza ujinga vijana wengi vichwani mwenu.

Mwanzo 2:24 “Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja”.
Achana na izo ngano za wayahudi wa kale pitia sheria ya ndoa
 
Kizazi cha wanawake wenye maadili, mapenzi ya kweli na wanaostahili kula jasho la mwanaume kimeshaisha

Kiukweli Mungu atutetee wanaume, wanawake wamekua wezi
 
Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Hakuna ambacho mwanaume ananufaika nacho katika ndoa wakati huo mwanamke akiitumia ndoa kimkakati inamtoa kimaisha. Ndoa ni gereza la mateso kwa mwanaume.

Linapokuja suala la mahusiano na ndoa kiujumla kwa sasa wanawake wamekua matapeli na mbaya zaidi utapeli wao umehalalishwa na unalindwa kisheria. Mwanamke atakutapeli kupitia ndoa na hakuna utakachofanya.

Ukioa jua kwamba umebeba bomu litakalokulipukia muda wowote. Mwanamke atakuletea jeuri, atakuonesha makucha yake aliyoyaficha kipindi cha uchumba, atafanya umalaya wake na ukishindwa kuvumulia hayo yote ukaamua muachane basi kubali kumuachia nyumba uliyojenga wewe mwenyewe na kugawana mali zako zingine zote.

Achana na wababa na mabroo wanaosifia ndoa hao tayari wameyatimba wanataka kuwaingiza mkenge na nyie muingie kwenye mateso, waswahili wanasema msiba wa wengi ni sherehe. Achana na wanawake wanaosifia ndoa hao wanaisifia sababu wanajua inawanufaisha. Kijana mwenzangu kamwe usioe. Cheza kwenye cycle ya friends with benefits, one night stand, kula kimasihara na hit and run lakini kamwe usioe.

Kizazi cha wanawake wenye maadili, mapenzi ya kweli na wanaostahili kula jasho la mwanaume kimeshaisha, these whores of current generation they are not worth such privileges.
 
Hii ni kwel kabisa nimeona kwa baba yangu mkubwa.
 
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Kuoa ni kufanya ujinga wa hali ya juu sana. Kwa sasa, ni wanaume wasio na akili timamu tu ndio wanaweza kuishi na mwanamke kwa ndoa.
 
Kuoa ni kufanya ujinga wa hali ya juu sana. Kwa sasa, ni wanaume wasio na akili timamu tu ndio wanaweza kuishi na mwanamke kwa ndoa.
Kwa hiyo wewe utafanyaje mwenye akili timamu, utaishi na mwanaume? Unajua mambo mengine tusiwe tunspinga bila logic mkuu.

Ukisema wanaume wasio na akili timamu ndio wanaweza kuishi na mwanamke, wenye akili timamu wanaishije, wenyewe..na wanaume..au inakuwaje, elaborate!!
 
Afya ya akili ni tatizo Kwa vijana wengi saana.
 
Punguza jazba mkuu[emoji28][emoji28]...Ebu tueleze kisa ilikuwaje?

Ipo siku mtaelewa ndoa za zamani zilidumu kwa vile mke alikuwa anakaa nyumbani tu kama wanavyofanya Taliban.
Labda ingesaidia. Ila hii ya wanawake wasome, waajiriwe, sijui haki sawa. Imeharibu ndoa si kidogo.

Leo Jumatano, ni kisa cha Jumatatu mwaka mpya.

Mke wa mtu alienda kusahihisha mitihani ya kidato cha pili na nne kule Arusha.

Tangu waruhusiwe kurejea maeneo yao ya kazi, yeye ndo amefika jana Jumanne.

Alipokuwa alikuwa akiwasiliana na mchepuko wake. Wakakutana hapa Chalinze ni kuliwa kwa kwenda mbele. Mume anapewa tu ratiba ya uongo.

Sasa unajiuliza, amekaa huko karibu wiki tatu. Kaacha mume na watoto. Anaishia kukaa njiani badala ya kuwahi kwenda kuiona familia. Huyu ni kahaba au mke wa mtu?

Hadi hapo kuoa ni mtihani.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Noma sana , ukweli tunaujua ila ndio hivyo yaani mkeo anasafiri ya companions ya ofisi watamla tu.
 
Back
Top Bottom