Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 4,425
- 9,818
Ndoa ni mkataba wa kitapeli kwa mwanaume. Hakuna ambacho mwanaume ananufaika nacho katika ndoa wakati huo mwanamke akiitumia ndoa kimkakati inamtoa kimaisha. Ndoa ni gereza la mateso kwa mwanaume.
Linapokuja suala la mahusiano na ndoa kiujumla kwa sasa wanawake wamekua matapeli na mbaya zaidi utapeli wao umehalalishwa na unalindwa kisheria. Mwanamke atakutapeli kupitia ndoa na hakuna utakachofanya.
Ukioa jua kwamba umebeba bomu litakalokulipukia muda wowote. Mwanamke atakuletea jeuri, atakuonesha makucha yake aliyoyaficha kipindi cha uchumba, atafanya umalaya wake na ukishindwa kuvumulia hayo yote ukaamua muachane basi kubali kumuachia nyumba uliyojenga wewe mwenyewe na kugawana mali zako zingine zote.
Achana na wababa na mabroo wanaosifia ndoa hao tayari wameyatimba wanataka kuwaingiza mkenge na nyie muingie kwenye mateso, waswahili wanasema msiba wa wengi ni sherehe. Achana na wanawake wanaosifia ndoa hao wanaisifia sababu wanajua inawanufaisha. Kijana mwenzangu kamwe usioe. Cheza kwenye cycle ya friends with benefits, one night stand, kula kimasihara na hit and run lakini kamwe usioe.
Kizazi cha wanawake wenye maadili, mapenzi ya kweli na wanaostahili kula jasho la mwanaume kimeshaisha, these whores of current generation they are not worth such privileges.