Marriage for revenge

Mtoa mada,maybe tuelezee zaidi kdogo about your story isije ikawa tyunaku'judge tuu hapa
WHAT HAPPENED,EM TEMA NYONGO YAKO YOOOOTE HAPA,tujue vizuri,na tujoifunze perhaps
 

Kama una hulka ya kuwanyanyasa na kuwafanyia vitimbi vya ajabu na udhalilishaji na kucheza na hisia zao kama mume wa huyo dada mtoa thread, basa hata mimi nakushauri, NEVER TRUST A WOMAN!! Ila kama huna hizo tabia mbofu mbofu, JUST BE AT PEACE WITH THEM.

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Najua kuwa ninachokikusudia sio kizuri. Ila kila nikikumbuka mabaya aliyonifanyia huwa nabaki kujifungia na kulia sana amenitendea mengi mabaya.Hujui tu kuwa hata hii ndoa nilijisacrifice namna gani...
Unakumbuka mabaya aliyokufanyia for what? kuna binadamu gani ambaye hafanyi mabaya? Bado alikufanyia mabaya ukaolewa naye halafu leo unatuambia unataka umlipizie huku unampenda ni upendo gani ulio nao kwake? mimi nikajua unasema pamoja na mabaya aliyokufanyia umemsamehe kwa kuwa unampenda,wewe unamlipizia na bado unasema unampenda! Haya endelea halafu utakuja kutupa mrejesho
 

Unless otherwise muwe mmefunga ndoa ya kiislamu, ila kama ni ya kikristo, nafasi nzuri ilikuwa kumkana kanisani, (kumuonyesha inaumaje kukanwa na mwenzio). Ulikubali kufunga hilo agano na umefunga na Mungu kwa ridhaa yako mwenyewe. Usilifanyie utani. Sasa hivi pia yaweza kuwa muda wako wa kuvuna mema ya nchi, tafuta jinsi ya kummanipulate kukumbushia flani jinsi alivyokuwa anakufanyia na inavyokuumiza, imuumize akupende zaidi (kama ni binadamu kamili lakini).

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Chondechonde mama! Hata ukilipiza kisasi sio dawa, najua unadukuduku moyoni na litakusumbua hata hutafurahia maisha yenu ya ndoa!
Tafuta siku nzuri muende vacation japo nje ya mji mkakae huko mueleze kinacho kuuma na ulichonacho moyoni myamalize muanze upya ufurahie ndoa maana ndoa ni Zawadi toka kwa muumba, muumba anaweza kukupa adhabu ambayo utajuta maisha yako yote!
Fanyeni reconciliation ili ufurahie hilo tunda la ndoa! Haya yapo maana alikuwa anachagua moja ktk maelfu na ww umeshinda!
 
Kwa nini unakumbuka mabaya tu? Hembu kumbuka na mazuri aliyokufanyia nina imani yapo mazuri halafu kama kweli unampenda kwa dhati ukikumbuka hayo mazuri utamsamehe tu, maana upendo huvumilia, haujivuni, hauhesabu mabaya, hauna kisasi nk hembu tafakari mara mbili kama uamuzi unaotaka kuufanya ni sahihi,maana maamuzi yako ya leo ni matokeo ya kesho
 
Nadhani huwa hamfikishi pia. Mwanamme akimfikisha mwanamke huwa ana-gain marks, walau za utamu tu anaotoa.

Sasa huyu mwenzetu dah! Hivi unaolewaje kwa kisasi? Si unajikomoa mwenyewe kuishi na mtu usiyempenda? Ukute na ndoa hiyo walituchangisha michango, bora wangetuacha tukalie bata hizo pesa.

Duuh! Wonders will never cease. Hii sijawahi isikia, si usingetokea kanisani ukamuacha akale ubwabwa na ndugu zake?
 
Hahaha. Marks za utamu wa wknd tu zishamchosha. Ila hadi kuolewa? Mweeh!
 
Huna akili ma l a.
Ya wewe wenzako wanawaza ndoa we unawaza kisasi? Ngoja uachwe uone wenzako wanavyochangamkia mburulaaaaaaa
 
go go go vannele i even want 2 do such thng u want 2 do
an u knw wat?
itaweka heshma hz habar za kuwa na huruma zmeptwa na wakat nw days we hav 2 show them dffrent thng an new than it was before

bt ulichokosea ndugu nikuolewa na mtu ucyempenda sasa cjui unalpizaje
 

Naamini mimi ni wife material basi tu ni vile hisia zangu zilishaumia
 
Unataka uzae nje ya ndoa?
Unataaka ucheat naye ajue?
Unataka ukombe kila kitu usepe?
Unataka umfanyie kitu cha muda tu.
niPM naweza kukushauri kitu. Siku hizi kuna bastola dadaangu, unaweza poteza maisha yako bure. Ni PM nikushauri kitu.

mmh bastola tena! sitaki kuua mimi.
 
kama unampenda sana
kwa nini unafikiria about revenge?
msamehe bana
 

ni mwanamke,nnachojiuliza walianzaanzaje hadi kuambiana hayo mambo,imeniuma sana
 
nilijishusha kwasababu nyingi,kwanza nilimpenda sana pili nijiondolee aibu alizonisababishia na tatu nilipize either kwa kumsababishia aibu na kumuonjesha ladha ya maumivu ya mapenzi
Upendo hauko hivyo labda kama kuna upendo unaoumaanisha wewe eti unajizuia ili usizae ili iweje sasa kwani kama lengo lako lilikuwa kufanya kisasi ilikuwa lazima uolewe
 
Duuh! Wonders will never cease. Hii sijawahi isikia, si usingetokea kanisani ukamuacha akale ubwabwa na ndugu zake?

nilidhamiria kuingia kwenye ndoa kwanza kisha mengine yafuate
 
badala umfanyie mazuri aje arealize mabaya yake,,just show him more than love that is the best revange
 

umeona ee,wanawake wengi tunabadilishwa kitabia na wanaume zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…