^^
Katika kufanya Research kuna dhana inaitwa sample and sampling, ambapo watu wachache wanaweza kutumika ku-represent majority reality, ikiwa njia hiyo ni scientific basi taarifa zinazopatikana husaidia kupata ukweli, mf. Rasimu ya Katiba mpya imechagua maoni ya watu zaidi ya laki tatu kuwakilisha maoni ya watanzania zaidi ya milioni 30,
Back to topic.
Nimemsihi atupe mrejesho hasa kwangu mimi mwenye kiu ya kujifunza, majibu yake yatanisaidia sana, na kwake yeye tu hatoshi, wapo waliomtangulia ambao ktk jibu nililompa mwallu mwanzo, mmoja wake alimuua kwa sumu rafiki yangu,
Kuhusu kujifunza kupitia comments za wengne ni wazo jema ila nimekuwa interested na huyu aliyeingia ktk ndoa kwa nia ya kulipa kisasi.
^^
We demu mpumbav kabisa.Unahisi utaweza kumfanya nini huyo jamaa wewe coward?acha utoto na upuuzi endelea kuvumilia tu kama alikula tigo si umetaka mwenyewe ili ulinde penzi?saivi uwaro unakutoka unalia lia.Nyambaf
kuumia lazima aumie...Wanaume mkome kuchezea hisia za wanawake.
Biblia inasema hivyo, but I do understand her situation maneno tu hayatamsaidia. Hurt people,hurt people. Mpaka aombewe ndo majeraha yatapona na ataweza kusameheLets love lead,try kusoma 1Wakoritho 13.Mwenye upendo hana kisasi,hana hasira,hana wivu,hana roho mbaya, hana ukatili.Kama kweli unampenda husitende baya juu yake lipa jema kwa baya hakika atakuja kutubu yye mwenyewe.
Sampling yako ni more than purposive, badilisha basi lengo la research yako maana kuwajua wanawake unahitaji random au stratified random sample. Hapo ndipo ninaposhangaa biases zako, na ndio maana kwenye uzi mwingine wakati namjibu watu8 nilisema people decide to hear na naongeza kuona what they choose to hear or see.
Kweli we mtamu.Nimekusoma.mdau em chilaaaax relaaax! Soma comments from the begining hadi mwisho uelewe tatizo lake lilikuwa nini na alihitaji ushauri gani na amefikia maamuzi gani!
Usipende kukurupuka kutukana mkuu utaumbuka siku moja .
I would have done the same, then I realised that he is not worth it. The Man who did all that is not worth the trouble u will be going through in carrying out your revenge. The sweetest revenge is not caring,forgive and forget...Namfahamu mtu aliyefanya kama wewe, dear hakuja kuwa na amani na sasa ndoa yake imekwisha na aibu kubwa ameipata. Rudisha moyo nyuma, lisamehe hilo lipumbavu songa mbele. We ndo mwanamke, mwanamke wa shoka u made Him go down, against his own words. Revenge itayamaliza maisha yako mwenyewe na furaha na amani ya kweli itakuwa ndoto tu. Kama una amini Mungu, rudi kumwomba msamaha na uponyaji wa nafsi yako na uchungu ulio nao. Inawezekana ndoa hiyo uliingia kwa nia ovu lakini ikaja kuwa faraja ukasahau uchungu wote. Tunaishi mara moja na kufa mara moja tu, usiyatoe maisha yako zaidi kwa kisasi mana inawezekana unayetaka aumie hataumia nawe ukaumia zaidi.Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
I don't care, nasubiri siku na saa.Hujawahi kusikia hii,Keep your friends close but keep your enemies closer.
hapo mwake sasa..peaceKweli we mtamu.Nimekusoma.
mmh ushauri wako wewe aya
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
Duuuuh so why Did you get married?? If you read her article, you may find the reason "why". By the way, your question reminded me of an interesting story, call it a movie, Why Did I Get Married. It is an interesting story.
Najua kuwa ninachokikusudia sio kizuri. Ila kila nikikumbuka mabaya aliyonifanyia huwa nabaki kujifungia na kulia sana amenitendea mengi mabaya.Hujui tu kuwa hata hii ndoa nilijisacrifice namna gani...
Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
thanks Vannele i know you can do it ,i am pretty sure!i will try