Today I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.
Duuuuh so why Did you get married?? Unajua kama kisasi ni cha Mungu tu. Je ukifanya hayo unayotaka kufanya na asiumie kiasi unachofikiria then what next?? Watu kama nyie ndio mnafanya wanaume waogope kuoa. Yaani unaolewa na mtu ambaye una kisasi naye halafu eti unampenda?? What is the meaning of that love by the way?? Unanifanya niwaamini waliosema NEVER TRUST A WOMAN Period

kuumia lazima aumie...Wanaume mkome kuchezea hisia za wanawake.
Usihukumu wanawake wote...Huu ni msimamo wangu binafsi.
Jifanye komoa ukamkute komesha au Jiafanye Komesha umkute Komoa. What goes around Comes around Ndio maana kisasi ni cha Mungu tu.
kuumia lazima aumie...Wanaume mkome kuchezea hisia za wanawake.
Amechezea wapi? Sikaolewa hayo ni maneno ya wachonganishi. Hivi shule zinafunguliwa lini?
Mtafutie ile dawa ya masai ya kusafisha tumbo umpe as breakfast af aende kazini ikafanye kazi mumo kwa mumo!tehToday I want to confess that I am in this marriage to take my revenge...This man humiliated me a lot...Alinikashifu sana mpaka kwa rafiki zangu kuwa hawezi kunioa hata iweje kwa kuwa eti sina vigezo...Ilifikia kipindi alikuwa anawaambia wamtafutie mke...I wanted to prove him wrong...nilijitahidi kujifanya kipofu na kuwa mwema kwake and finally he fell into my trap,he proposed and we got married...nataka nifanye kitu kitakachomuumiza na yeye ahisi maumivu niliyoyapata...kiukweli ninampenda sana lakini nikikumbuka aliyonifanyia naumia sana,na mimi nataka nilipize.