Jamani nimekwama swali hili nimefikiria sana lakini wapi! MARITAL STATUS ni nini kwa Kiswahili?
Mkanyageni;Jamani nimekwama swali hili nimefikiria sana lakini wapi! MARITAL STATUS ni nini kwa Kiswahili?
Jamani nimekwama swali hili nimefikiria sana lakini wapi! MARITAL STATUS ni nini kwa Kiswahili?
Hata mimi naona hili ndio jibu sahihi. Unajua lugha hii ya kigeni maneno mawili tu tafsiri yake kwa kiswahili yanaweza hata kufika maneno kumi ndio siku hizi kuna uchakachuaji wa lugha ya kiswahili na hivyo kupelekea kuchanganya lugha. Kwa mfanoJibu sahihi ni: Hali ya ndoa: Umeoa/olewa, umeacha/achika n.k
Kwa kiingereza ina maana gani??
tuelewe kwanza hapo....ndio tutafute kiswahili yake.........

Hebu jaribu kufukiria majibu yafuatayo yanayoelezea kile tunachokiita "Marital Status"

Marital Status: 1. Married, 2. Single, 3. Divorced, 4. Widow, 5. Cohabitated

Mara nyingi tunapoelezea hali ya ndoa ya mtu tunadhani ni kuoa na kuolewa tu, tunasahasu hizo hali nyingine.

Ninakubaliana na tafsiri ya "Marital Status" = "Hali ya ndoa"

ni mwanandoa

kwahiyo ni single/married tu? Kama engaged je?