Marijuana vs. Alcohol: Which Is Really Worse for Your Health?

Marijuana vs. Alcohol: Which Is Really Worse for Your Health?

Hata tukiacha hivyo vyote binadamu siku zetu zinahesabika. Hivyo ni bora kuendelea kuviinjoi vyote.
 
Kumamae hata ze gongo noma. Nilitokagwa na machozi hivi hivi. Ilikuwaga na flavour ya nanasi.

ha ha ha ha ha ha!!!!!!!!!! ze gongo sumu ina Methanol nyingi isiyofaa kwa matumizi ya binadamu..........

teh!!!!! ungepofuka ujue....... hlf hizi local pombe ,noma sana..........

kuna moja ya mtama nilitupia kipindi cha utotoni , nikatapika sanaaaaaa.
 
Back
Top Bottom