Marijuana vs. Alcohol: Which Is Really Worse for Your Health?

Marijuana vs. Alcohol: Which Is Really Worse for Your Health?

Hako kajani hapo juu kamenifanya nitamani kukatafuna kama miwa nimeze juisi.

Am high just looking at it.

Alafu ni kazuri hata kwa mwonekano.
Kuna rafiki yangu aliwahi kukapanda kwenye bustani kwa mjomba wake, mjomba akawa ananyeshea maji kila siku akidhani ni 'ua' ila akawa anashangaa kila siku anakuta ua limechumwa!!@
 
Hahaaaaa. Lmao.
 
Hahahah dah!!! Jamaa yako alikuwa jinias kawa Sir Isaac Newton.
 
Hahahah dah!!! Jamaa yako alikuwa jinias kawa Sir Isaac Newton.

Yaa ingawa ilimkosti... siku mjomba amegundua mchezo jamaa alifungashiwa vijirambo vyake na kurudishwa lushoto
 
sorry sikukusoma vizuri tittle the answer is none of them.
 
Hayo mabangi yenu huko huko. mimi navuta majani ya chai.

6237457_f520.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa

asakuta same, a new member to JF Chewers and Smokers Club. Hahahahaa. Lmfao.

teh teh teh!!!!!!!!!! mnanipa raha sanaaa.................majani yote matamu , ndiyo maana Mungu katudatisha nayo.

halafu Alcohol nani anathubutu kui-dis?

aiseeeeh tutagombana humu.............
 
Back
Top Bottom